Kuna dhana imejengeka kwa watu wengi na sasa inaelekea kuwa ndo ilivyo
Utakutana na mtu akishakuuliza jina tu basi na jibu la imani yako anakua nalo!
Sasa kuna hawa wengine wanao amini kama humuabudu allah wala God/jesus wewe basi huna mungu.
Kiasili mwanadamu awaye yote yule ni lazima...