Nikiwa kwenye harakati za utafutaji nikakutana na fursa nikaona niruke nayo maana nakidhi vigezo vyote,Cha ajabu nikaja kukataliwa kisa sio muumini wa DINI fulani...
Nimekua nikishuhudia watu wakitengana,wapenzi wakishindwa kuoana,watu kifanyiana chuki za wazi wazi kisa tu wako na imani tofauti...