Maadui wenu mnawafahamu ila mnawakalia kimya kwa nini?
Imani zenu za kimila na kidini ni za kazi gani sasa?
Mnashindwa kuwa shughulikia kimila mmoja baada ya mwengine maana madaraka ya kuwa umiza wanayo sasa kilichobaki ni nini? Washughulikieni kwa jadi uone kama watafanya ujinga tena juu...