Uchawi upo. Jambo la ajabu kwa sasa nimepata kesi zaidi ya tano ndugu kurogana.
Yaani kuna moja mama hataki kuona vijana wa kike na wa kiume wa wanatoboa.
Ndugu wanafichana mambo na kila mmoja anamuangalia mwenzake kama kihatarishi. Dada mmoja ameniambia Alfajiri anaona anakabwa na Mama yake...
Ipo hivi, kuna sehemu nimetoka kununua uwanja almost miezi kama miwili sasa.
Kinachoshangaza na kuanza kuingia na hofu ni hili tukio, kuna sehemu nikifika gari inapungua nguvu automatic na kuzima muda mwingine, mara ya kwanza nikawa na hofu kuwa huenda ni driving yangu mbovu tu na kuzarau eneo...
Kuna mtu fulani ni fundi ujenzi anaamini sana katika uchawi ukimpa mchongo wa kazi lazma apande basi akaroge ili amteke boss safari hii wamempiga hadi chale za usoni 😃 ili awe na mvuto (nyota)
Tujifunze kuamini ubora wa kazi unaongea, kizuri kinajiuza na kuonekana kama kazi yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.