imani za ushirikina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nini chanzo cha ongezeko la tuhuma za ndugu kurogana na kukwamishana?

    Uchawi upo. Jambo la ajabu kwa sasa nimepata kesi zaidi ya tano ndugu kurogana. Yaani kuna moja mama hataki kuona vijana wa kike na wa kiume wa wanatoboa. Ndugu wanafichana mambo na kila mmoja anamuangalia mwenzake kama kihatarishi. Dada mmoja ameniambia Alfajiri anaona anakabwa na Mama yake...
  2. M

    Naona tukio la kishirikiana waziwazi, hali hii inanitisha sana

    Ipo hivi, kuna sehemu nimetoka kununua uwanja almost miezi kama miwili sasa. Kinachoshangaza na kuanza kuingia na hofu ni hili tukio, kuna sehemu nikifika gari inapungua nguvu automatic na kuzima muda mwingine, mara ya kwanza nikawa na hofu kuwa huenda ni driving yangu mbovu tu na kuzarau eneo...
  3. Tufanye ibada au ndumba

    Kuna mtu fulani ni fundi ujenzi anaamini sana katika uchawi ukimpa mchongo wa kazi lazma apande basi akaroge ili amteke boss safari hii wamempiga hadi chale za usoni 😃 ili awe na mvuto (nyota) Tujifunze kuamini ubora wa kazi unaongea, kizuri kinajiuza na kuonekana kama kazi yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…