Balozi wa Comoro nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui ametembelea Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni, Comoro na kufanya mazungumzo na Balozi wake, Mhe. Saidi Yakubu.
Katika mazungumzo hayo, Mhe. Balozi Badaoui ambaye pia ni Amidi wa Mabalozi nchini Tanzania alitumia fursa hiyo...