imefutwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakuu hivi league ya NBC IPO ama imefutwa

    Wakati league zingine zikipamba moto duniani kule Ujerumani wakijiandaa kuandika historia baada ya kijana aliyeishi viunga vya bayern Munich na kuiba mbinu zao akiwapa Bayer Leverkusen kombe gumu kabisa la bundesliga na pale Uingereza Klop anataka aondoke kwa heshima mambo ni tofauti hapa kwenye...
  2. Naam, kwa mwenendo huu CCM inajifuta kwenye siasa za Tanzania

    Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu. Tumezoea kuishi kwa hofu. Mkuu wa chama ndiye amiri Amiri anaapa kwa kutii...
  3. Je! Kuna namna zakufanya kurudisha number ambayo imefutwa?

    salaam, Hivi wataalamu Kuna namna za kufanya hili kurejesha number ya simu ambayo uliifuta kwa hasira, Kuna mtu nilifuta number yake kwa hasira Sasa kuna ishu muhimu nae, na namna za kumpata hakuna "kulalaleki!
  4. Channel ya YouTube ya Diamond Platnumz yafutwa (Terminated)

    Siku mbili tangu akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz iliporipotiwa kudukuliwa, akaunti hiyo imeondolewa na YouTube wenyewe kwa kilichoandikwa kuwa mtumiaji amekiuka masharti ya mtandao huo. Inadaiwa kuwa baada ya kudukuliwa uongozi wa msanii huyo wa Bongo Fleva ulifanikiwa kuirejesha...
  5. Michuano ya Golf ya Mount Kilimanjaro Klassic iliyokuwa ifanyike Arusha IMEFUTWA, washiriki wamelipwa fidia, sababu hazijulikani

    Michuano ya Mchezo wa Gofu ya Kilimanjaro Golf Tourney ‘Mount Kilimanjaro Klassic’ ambayo imepangwa kufanyika Arusha, wiki ijayo, imefutwa na wachezaji husika ambao walikuwa katika maandalizi ya mwisho kwa ajili ya kushiriki wamejulishwa. Michuano hiyo ilikuwa itumike kama sehemu ya kutangaza...
  6. K

    Kesi ya Mbowe: Kina Kibatala waikatae diary na simu iliyotunzwa na mahakama, Watajuaje kama imefutwa taarifa walizotaka?

    Jana kwenye kesi ya Mbowe shahidi wa Jamhuri (polisi) amefumaniwa ameingia na simu na diary kizimbani baada ya akina Kibatala kumgundua. Hiyo ni kinyume na taratibu za kutoa ushahidi na shahidi kuwa kizimbani. Sasa jaji akaamuru mahakama ikae na hio diary huku jumatatu tukisubiri hoja kwamba...
  7. Simba Day imefutwa?

    Kuna anaejua Simba day ya kila mwaka tarehe 8 mwezi wa nane imekuwaje mwaka huu? Imefutwa? Kubadili tarehe? Au kuna kauli rasmi imetoka?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…