licha ya kuchelewa kutoa salamu zangu za pasaka kwako na kwa familia yako, nadhani bado ni muhimu sana walau kusema tu heri ya sikukuu ya pasaka mwanafamilia wa JFπΉ
ukiachana huzuni na majonzi kwa matokeo ya vitu vingine tangu Ijumaa pale lupaso,
nimewiwa kutoa rai binafsi kwako, ya kuwa...