Wakati Trump anamsubiria Narendra Modi Waziri mkuu wa India kufika White House Trump akawa anapiga story na waandishi wa habari, wakumuuliza vipi kuhusu BRICS, amewajibu kwa tambo na makeke sana.
Trump anasema BRICS imekufa baada ya kauli yake kuwaambia wakigusia tu kwenye vikao vyao wanataka...
Nafasi ya namba 10 haipo tena kwenye mpira wa sasa, kila kocha anacheza 4-4-2 au 4-3-3 ilikua kila mtoto anatamani kucheza namba 10 lakini kwenye mpira wa sasa nafasi hiyo haipo tena, hakuna kocha anaetumia playmaker tena, kwa Sasa wanahitaji mpira wa kasi na ubora wa mchezaji kwenye one-on-one...
Wakuu
Hii team ya walevi na wanywa wanzuki yaani inatia huruma
Mitandaoni mashabiki hawana Furaha kabisa yaani kila post admin atakayotoa basi wanampopoa tu jamani ..!
Kilichobaki ni admin kuigeuza page imekuwa ya kuwish watu happy birthday tu ...
Yaani simba ya kumuwish Happy birthday...
Habari wakuu,
Naona siku hizi zile Night Clubs ndani ya jiji la Dar es salaam hazipo tena zimefunikwa/replaced na Bar kubwa kubwa.
Mfano hapo nyuma palikuwa na club za mziki mbalimbali mfano Billcanas, Maisha basement, Ambiance n.k Lakini siku hizi zile Nights club zimevunjwa na kugeuzwa...
Ni miezi sasa takriban mitatu. Tangu Septemba hadi Desemba 2023, Serikali haijatuma fedha za ruzuku shuleni bila maelezo yoyote jambo ambalo limezua mjadala katika utekelezaji wa ebm kwa mujibu wa waraka wa elimu kama ulivyotolewa na Serikali.
Jambo hili linapelekea Walimu viongozi kuanza...
Iliwahi nitokea hii, simu nilinunua laki 4 ikapasuka kabisa kioo, kuulizia bei ya kioo laki 2 na elf 80, nikasema potelea mbali heri ninunue simu mpya tu, lakini kulikuwa na vitu vya muhimu ndani ya simu na inahitaji nivihamishe.
Simu imedondoka kwenye sakafu kioo chote kimejaa wino ama...
Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball, ni sawa na kumkejeli .
Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia, UWT, UVCCM, LUMUMBA, CHIMWAGA na KIZIMKAZI, hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80%...
Msomi wa vitabu Hayati Benjamin Mkapa alikuja na kauli mbiu ya UKWELI NA UWAZI sikumielewa sana kipindi kile. Ilikuwa ni kauli mbiu ya kisomi sana kwa mtu wa kawaida kung'amua.
Katika harakati zangu za Maisha longolongo ndio ilikuwa janja yangu. Katika kikao kimoja nilifanya na viongozi wa...
Wakati Simba ikiwa imeuawa na wanaume Yanga imeonyesha maana halisi ya kufa kiume. Simba wamefia uvunguni mwa kitanda wakati Yanga imefia juu ya kitanda.
Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu.
Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Shirikisho, hoja yao kubwa imekuwa hilo ni kombe la loser kanakwamba hiyo sio...
Dada mdogo wa marehemu mke amesema dada yake alimwambia kashachoka kutukanwa na mumewe na hadhani kama ndoa ina manufaa, mdogo mtu aliendelea kumshinikiza amalize mgogoro kwani yeye anaona wanagombania kitu ambacho hakipo hivyo rahisi kusuluhisha. Mdogo mtu alikuwa anaishi kwenye nyumba nzuri ya...
Leo kulikuwa na tukio la Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wao Mbowe. Lilikuwa ni tukio linaluhusu zaidi ushiriki wa watanzania.
Cha ajabu na masikitiko makubwa, hakukuwa na muitikio wa wananchi. Watu hawana habari na Mbowe kama hakijatokea kitu.
Namshauri Mbowe akatubu kwenye kaburi la Magufuli.
Mifugo 62,593 imekufa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kukosa maji na malisho kutokana na ukame. Kati ya mifugo hiyo;
Ng'ombe - 35,746
Kondoo - 15,136
Mbuzi - 10,033
Punda - 1,670
======
Hali ya ukame inayoendelea wilayani Simanjiro mkoani Manyara imesababisha mifugo mbalimbali ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.