Naishukuru sana serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya mmiliki wa jengo, naomba kuisaidia Jeshi la Polisi kuendelea kusaka taarifa zaidi za tukio hilo lakini kinachosemwa pale kariakoo na watu mbalimbali kisipuuzwe.
Mimi nimesikia watu wakisema kuwa mmiliki wa jengo hilo alifanya tamaa, kwamba...