Leo katika olympics mwanamke Angela Carini amelia baada ya kupigwa K.O ndani ya sekunde 46 na mwanaume anayejitambulisha kama mwanamke Imene khelif.
Pichani.
Hata hivyo shirikisho la michezo la Algeria limekataa kama Imene ni mwanaume na kwamba sheria ya nchi hairuhusu Transgender Tangia 1966...