Juzi bhna nilienda barbershop kushave.
Nilipomaliza ile natoka nje nikaona land cruiser inakuja ikapak upande wangu wa kushoto.
Wakatoka jamaa wawili makamu ya miaka 35-40, jamaa walikuwa wanapiga stor kwa furaha sana na wakajisahau wakawa wanaongea Kwa sauti kubwa kiasi kwamba niliweza...
Wazima humu?
Mimi huwa na utaratibu wa kutoka na mwanangu asubuhi kumpeleka shule kila siku na huwa natoka nae kuanzia saa moja huwa tunapanda bajaji au bodaboda, sasa leo tukiwa tunatembea kuona kama tutakutana na bajaji ili tupande ndo akapita jamaa na Rumion nyekundu akaniambia panda...
Siku hizi ukikutana na mtu ambae hukumchangia harusi yake basi utakuta hakuchangamkii kama zamani.
Jamani sisi sio fake friends ni hali ngumu jamani mtusamehe bure
Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.