Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi Desemba 2022 kulikuwa na benki 45 ikilinganishwa na benki 46 katika kipindi kama hicho mwaka 2021.
Amesema Kupungua kwa idadi ya benki kulitokana na Exim Bank Limited kuinunua benki ya First National Bank Tanzania.
Hata hivyo, amesema...
“Simba imepungua ubora kidogo, lazima tuwe wakweli. Kwanza kuna nyota wetu ambao ubora wao umepungua kidogo kwa sababu ya kuchoka, wamefanya kazi kubwa kwa miaka 5, wamecheza sana kwa miaka yote hiyo michuano ya kimataifa, Ligi kuu na michuano mingine”
Ahmed Ally
Naona Mbowe asali aliyopewa ilikuwa ya kuonjeshwa haijamtidhisha ameanza chokochoko za Kizee ili apewe asali nyingine tena lkn mimi namshauri Samia aendelee kumpa asali ya kuonja ili awe mvumilivu
ukifika wakati wa kumpa ya kunywa achanganye na Alovera hii ni chungu ataitema japo vile...
Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
afafanua
bei
data
gharama
habari
imepungua
intaneti
internet
jitihada
kuhusu
madarakani
mafanikio
nape
nape nnauye
rais
rais samia
samia
serikali
waziri
Miaka ya nyuma ilikuwa napopiga mashine unakuta sometimes mtoto kama kainama anapinda kiuno upande kutafuta angle ambayo hatakuwa aki feel the pain. Au anaomba nimwandae tena aloane.
Miaka hii....thubutuuuuuu.... Hamna kitu unakuta mtu kabinua kama yote na unapump unapishana na upepo tu...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize
Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180...
Mradi wa Mwalimu Nyerere wa umeme, Barabara za mwendokasi, Mradi wa umeme Rusumo na daraja la Busisi speed yake imepungua Sana. Lakini pia usimamizi wa Wizara na idara za serikali si wakuridhisha. Mradi unavyochukua muda mrefu ndivyo gharama uongezeka. Niwaombe JMT tukimbizane imalizike Kwa...
Ni vigumu kusafiri kwenda mbali kusema habari za mazingira kama wananchi bado wanawasha moto wa Kuni ili TU kupata mwanga wa kumulikia usiku kusoma na kupika jikoni.
Kama Mtu hana njia nyingine ya kupika chakula chake lazima awashe moto wa Kuni au mkaa hayo mazingira yatatunzwa namna gani...
HII NCHI NGUMU SANA|WATU WANAPINGA TOZO ZA HIARI WANATAMANI ENZI ZA TRA NA MITUTU YA BUNDUKI,
_________________________________
Kazi iendelee|Tozo ziendelee
Sikilizeni, Mfano, kutoka Wizara ya Maliasili & Utalii FY2021/22 tulitegemea kukusanya jumla ya Tshs 2.7trl kama mapato...
Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka.
Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo.
Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.