imeshakufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama Jackline Ntuyabalile angeachiwa IPP Media, ingekuwa imeshakufa, anajipost muda wote yuko Dubai kumbi za starehe

    Kweli mahakama inaona mbali, kama wangekubali huyu dada awe msimamizi wa mirathi na amiliki IPP Media, angekuwa ameshaimaliza. Muda wote yuko mahotelini Dubai, kwa asiyemjua anaweza kudhani anafanya kazi ya uhudumu hotelini. Haijulikani anakaa na watoto wake saa ngapi.
  2. Kinachoendelea hapa Dar es salaam sio mgao wa maji, ni kwamba Dawasa imeshakufa

    Walianza kwa kusema kutakuwa na mgao wa maji na wakatoa ratiba lakini maeneo mengi ambayo nina ndugu jamaa na marafiki hapa Dar sasa ni zaidi ya wiki mbili hakuna maji. Ni vyema sasa serikali isitishe kulipa mishahara kwa wafanyakazi wa Dawasa kwasababu huwa wanalipwa kwa kutoa huduma ambayo...
  3. R

    UVCCM ipo hai? Mimi naona kama imeshakufa

    Ndugu zangu hii UVCCM ya sasa ina shida gan? Zamani ilikuwa jambo la kawaida uvccm ikiwa kwenye shughuli zake inaweza kufadhili hata miradi ya maendeleo vijijiini na mikoani. Yaani ile UVCCM ya akina Nape, Makonda, Hapi na baadae akina Kheri James siioni tena. UVCCM imekufa imepotea kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…