imeshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wazolee

    Kwahiyo serikali imeshindwa kulinda uwanja wake wa Mkapa Hadi wakodi makomandoo wa Yanga

    Hi nchi Ina vituko sana Uwanja ni mali ya serikali alafu maamuzi ya ulinzi yanayohusu uwanja yanatolewa na makomandoo wa Yanga Ilitakiwa Simba walipofika uwanjani wakutane na walinzi wa uwanja waliowekwa na mmiliki wa uwanja wa Mkapa ambaye ni serikali ndio wawambie hichi mnaruhusiwa kuingia...
  2. kijana wa leo

    Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  3. JoJiPoJi

    Tetesi: Treni iliyokuwa iondoke Dsm kuelekea Zambia imeshindwa kuanza safari sababu ya kutokuwa na diesel.

    Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa rasmi. Kwa mujibu wa tetesi, kuchelewa huko kunaweza kuhusishwa na ukosefu wa mafuta (diesel) kwa ajili...
  4. H

    Ni kwanini Serikali imeshindwa kumlinda Hayati Magufuli, kuna nini nyuma ya kuchafuka kwake ?

    Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ? Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ? Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ? Huyu...
  5. C

    Je Israel imeshindwa kuwaokoa mateka?

    Naona nguvu kubwa inaendelea kutumika kuua raia na kubomoa majengo huko Gaza lkn hakuna taarifa za kupatikana kwa mateka. Je Mossad na IDF wameshindwa kuwaokoa ndugu zao? Au hakukuwa na mateka kama dunia ilivyoelezwa mwanzoni?
  6. S

    licha ya kutoa mishahara kidogo lakini Tanzania imeshindwa kuajiri vijana

    wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto. mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
  7. Father of All

    Kadhia ya utekaji kwanini Serikali imeshindwa?

    Wapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu. Je, serikali imeshindwa kweli au kuna namna? Je, huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi wasio na hatia wanavyoteswa na kudhulumiwa hata uhai wao? Je, hawa watekaji wamegeuka serikali...
  8. chiembe

    Kwanini TLS ya Mwabukusi imefilisika ghafla? Hela zimeenda wapi? Imeshindwa kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

    Najiuliza taasisi tajiri kama hii fedha zake zinekwenda wapi? Tena muda mfupi tangu uongozi mpya iingie madarakani? Jamani!
  9. M

    Drama ya Mondi kuachana na Zuchu imeshindwa kuwapaisha.

    Ndio maana tunaambiwa tusijenge mazoea. Nakumbuka hawa vijana walifanikiwa kutengeneza Drama kama hii mwanzoni na Diamond akafunga safari hadi Zanzibar kwenda kumuomba Zuchu msamaha wakati ana perform live kule. Na hakika Drama yao ile iliwapaisha kupata public attention hasa kwenye social...
  10. Wakusoma 12

    LGE2024 Mpaka Sasa TAMISEMI imeshindwa kabla ya zoezi kuanza

    1. Kumuengua mgombea kisa Hana shughuli ya kiuchumi ni upumbavu wa hali ya juu Kuna wazee walio na umri wa miaka 60 na kuendelea ambao wengi wao hawana majukumu ya kiuchumi ya kuzalisha mali je hawapaswi kugombea? 2. Kama makosa ya kujaza form yameonekana kuwa sugu kwanini msingetoa semina...
  11. Roving Journalist

    Halima Mdee: Kisarawe imeshindwa kukusanya Tsh. Bilioni 6 ya Ushuru kutoka Yapi Merkez

    Mbunge Halima Mdee akizungumza wakati wa mjadala wa Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC kuhusu Ripoti ya CAG katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 ulioanza leo Oktoba 29, 2024 na kutarajiwa kuendelea hadi Novemba 8, 2024, amesema mapato Tsh. Bilioni 61.15 hayakukusanywa katika vyanzo muhimu Amesema...
  12. Venus Star

    'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

    Jeshi la Israel limekiri kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilishindwa kuzuia shambulio kubwa la roketi na kombora la Hezbollah. IDF ilisema kwamba inachunguza athari za roketi, hasara na uharibifu kwa Israeli kaskazini. Hezbollah ilifanya mashambulizi 18 dhidi ya wanajeshi wa Israel na vituo...
  13. G

    Makombora ya Iran yametua Israel bila kipingamizi cha mitambo ya Iron Dome. Je, Israel imefanya makusudi ili ipate backup nzito ya Kuitindua Iran?

    Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu. - Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani...
  14. DIDAS TUMAINI

    Kwanini Iran imeshindwa kumlinda mshirika wake Hezbollah na Hamas?

    Mkuu wa Hezbollah, Hassan Nasrallah amepotezwa Kiongozi huyu mwenye ushawishi mkubwa (charsmatic leader) ameiongoza Hezbollah kwa miaka 33 yaani kutoka 1992 hadi 2024. Alikuwa nyota kuu ya Hezbollah, Hamas, Iran na vikosi vyote vya kishia duniani. Pia alikuwa ni kipenzi kikubwa cha Ayatollah...
  15. S

    Mpaka sasa serikali imeshindwa kukanusha madai kuwa inawaondoa Wamasai ili ardhi yao apewe Mwarabu

    Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu? Binafsi naamini wanashindwa kukanusha kwasababu wanajua muda utawaumbua. CCM must go!
  16. FaizaFoxy

    Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

    Hususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia. Nchi ndogo za magharibi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na kusimamia Serikali. Tanzania ni wakati umefika itazame uhalisia. Ya nchi hizo ndogo ni mfano mzuri sana, na...
  17. Chakaza

    Kama CCM imeshindwa na Makonda kaweza, CCM ya Nini tena?

    Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP. Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
  18. R

    PSSSF imeshindwa kulipa pensheni za wastaafu. Wengine sasa ni zaidi ya mwaka hawajalipwa

    Kila wakienda wanapigwa danadana bila maelezo ya kueleweka. mwaka mzima, wengine miezi 4, 5, 6 etc etc. Waziri mwenye dhamana ni nani? Nina uhakika anajua hilo, na habari za ndani ni kuwa wamefilisika hawezi lipa mafao ya wastaafu kama lumpsum, na malimbikizo ya kila mwezi kwa ambao tangu...
  19. Webabu

    Wachambuzi watoa picha kuonesha Israel imeshindwa vita

    Baadhi ya nukta walizotoa wachambuzi hao ni kuwa wakati Israel inadai imewaua Hamas wengi sana lakini viongozi wakuu wa kundi hilo ama wako nje au wako chini ya mahandaki na hawajawapata. Pia Israel imeshatangaza mara kadhaa kuwa imeyadhibiti maeneo ya kaskazini na kati ya Gaza,lakini bado kila...
  20. Jidu La Mabambasi

    Serikali imeshindwa kutatua kero na matatizo yatokanayo na bodaboda na Bajaj nchini!

    Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto. Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya udhibiti kisheria kama Polisi, ni kama wako paralysed kutatua matatizo ya vyombo hivi. Wanasiasa...
Back
Top Bottom