imeshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nchi imekusanya zaidi ya trilion moja mwezi septemba ila imeshindwa kuwalipa wastaafu

    Katika kutoa taarifa za makusanyo pale Morogoro Msemaji wa Serikali amesema Serikali kwa mwezi Septemba mwaka huu serikali imekusanya Tilion 1 na zaidi cha ajabu Wastaafu wana miezi 11 wengine 12 hawajalipwa MAFAO acha pensheni MAFAO, je, kuna ukweli wowote wa makusanyo haya au kuna kitu nyuma...
  2. Serikali ya Tanzania imeshindwa kuajiri watumishi wa Afya, imekuja na mbinu za kilaghai

    mambo yamekua mazitokupita kiasi, mpaka sasa vituo vya afya vilivyopo havina watumishi wa kutosha achilia mbali zile zahanati za vijijini ambazo unakuta zina muhudumu mmoja mmoja akipata dharula anafunga kituo. sasa vituo vingi vimejengwa na vinaenda kukamilika Rasilimali watu hakuna...
  3. Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  4. Serikali imeshindwa kuajiri vijana wenye vyeti halali, inarudisha kazini wenye vyeti feki

    Wakati mwingine mpaka unahisi kuna laana juu ya nchi yetu. Vijana wasio na mbele wala nyuma but wakiwa na taaluma zao mmegoma kuwapa ajira lakini cha kushangaza mnawarudisha wazee 4000 walioshutumiwa na kuondolewa kazini kwa udanganyifu wa taaluma zao. Watu hao kama walionewa waseme walienda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…