imf

The International Monetary Fund (IMF) is an international financial institution, headquartered in Washington, D.C., consisting of 190 countries working to foster global monetary cooperation, secure financial stability, facilitate international trade, promote high employment and sustainable economic growth, and reduce poverty around the world while periodically depending on the World Bank for its resources. Formed in 1944, started in 27 November 1945, at the Bretton Woods Conference primarily by the ideas of Harry Dexter White and John Maynard Keynes, it came into formal existence in 1945 with 29 member countries and the goal of reconstructing the international monetary system. It now plays a central role in the management of balance of payments difficulties and international financial crises. Countries contribute funds to a pool through a quota system from which countries experiencing balance of payments problems can borrow money. As of 2016, the fund had XDR 477 billion (about US$667 billion).Through the fund and other activities such as the gathering of statistics and analysis, surveillance of its members' economies, and the demand for particular policies, the IMF works to improve the economies of its member countries. The organization's objectives stated in the Articles of Agreement are: to promote international monetary co-operation, international trade, high employment, exchange-rate stability, sustainable economic growth, and making resources available to member countries in financial difficulty. IMF funds come from two major sources: quotas and loans. Quotas, which are pooled funds of member nations, generate most IMF funds. The size of a member's quota depends on its economic and financial importance in the world. Nations with greater economic significance have larger quotas. The quotas are increased periodically as a means of boosting the IMF's resources in the form of special drawing rights.The current Managing Director (MD) and Chairwoman of the IMF is Bulgarian economist Kristalina Georgieva, who has held the post since October 1, 2019. Gita Gopinath was appointed as Chief Economist of IMF from 1 October 2018. Prior to her appointment at the IMF, Gopinath served as the economic adviser to the Chief Minister of Kerala, India.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Hoja hii dhidi ya Shaka ni upuuzi

    HOJA HII DHIDI YA SHAKA NI UPUUZI Na Bollen Ngetti RAIS SSH katika kukwamua uchumi uliodorora kufuatia janga la Covid-19 na matumizi ya hovyo ya Fedha za umma ametafuta na kupata 1.3 Trilioni kutoka IMF. Fedha ambayo ameelekeza kutumika hapa hapa nchini kwenye miradi ya maendeleo na hivyo...
  2. Paka shume anasubiri biriani ya IMF ipakuliwe, walengwa kalagabaho

  3. K

    Mchongo wa kunufaika na Shilingi Trilioni 1.3 za IMF

    Great thinkers mambo vipi. Naomba niende Moja kwa Moja kwenye kiini. Mheshimiwa Rais amesema Kuna fedha shiling Tilioni Moja na bilioni mia tatu zinakwenda kuchemsha Nchi. Sasa jameni hebu tupeana uzoefu na michongo ya namna ya kunufaika nazo kihalali kabisa. Yaani kama ni ajira tenda au...
  4. Tuliambiwa pesa za tozo za simu ndio zitatumika kwenye miradi ya afya na elimu sasa fedha za IMF je?

    Waziri wa Fedha awe mkweli maana kama kajisahau vile anaendelea kutoa hotuba, alituambia fedha za tozo zitahusika kwenye Ujenzi wa madarasa na huduma za afya, leo hii fedha walizopewa na IMF anataja miradi ile ile kwamba ndio itakayo tekelezwa, huenda labda mm sijaelewa vizuri pamoja na kuwa...
  5. #COVID19 IMF: Uchumi wa Dunia umeendelea kuathiriwa na Corona

    Mkuu wa Shirika la Fedha (IMF) Kristalina Georgieva ameonya kuwa Uchumi wa Dunia umeendelea kuathiriwa na janga la Virusi vya Corona Amesema kikwazo kikubwa ni mgawanyo wa Chanjo kati ya Mataifa tajiri na masikini, na kwamba katika miaka 5 ijayo Uchumi unaweza kuathiriwa kwa kiasi kikubwa ikiwa...
  6. M

    IMF- Tanzania faces hard times

    By JAMES ANYANZWA More by this Author Tanzania requires urgent financial support of $1.1 billion (1.5 percent of GDP) in the next 12 months to avert a potential economic fallout arising from the Covid-19 pandemic and the rising import bill linked to rising crude oil prices. The International...
  7. T

    Serikali imeahidi shirika la Fedha Duniani, IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za wagonjwa wa covid na vifo kila wiki kuanzia mwishoni mwa Septemba

    Serikali ya Tanzania imeahidi shirika la fedha Duniani la IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za vifo na maambukizi mapya ya ugonjwa wa covid 19 kila wiki kuanzia mwishoni mwa mwezi Septemba 2021 kama masharti mojawapo ya kupewa mkopo. Serikali iliomba mkopo wa zaidi ya Dollar Milioni 500 za...
  8. J

    Serikali: Mkopo tuliopewa na IMF tutautumia kujenga madarasa na kuimarisha Huduma za Jamii vijijini

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema serikali imepokea mkopo wa zaidi ya dola za Marekani 500m Fedha hizo zitatumika kujazilizia kwenye Tozo za mshikamano na hivyo kujenga madarasa mengi zaidi kufikia zaidi ya 1000, kwa sasa tunajenga madarasa 550 kwa kutumia Tozo, amesema. Pia mkopo...
  9. Tax Administration Advisor at IMF

    Work for the IMF. Work for the World. The Fiscal Affairs Department (FAD) of the International Monetary Fund (IMF) is seeking to recruit a resident tax administration advisor at the Regional Capacity Development Center in East Africa (AFRITAC East or AFE), based in Dar es Salaam, Tanzania...
  10. W

    Kwanini nchi za Afrika ikiwemo Tanzania bado maskini licha ya kupokea Misaada na Mikopo ya mamilioni ya Fedha kutoka nchi zilizoendelea? - Part I

    Niliuliza hili swali kupata maoni, sio hapa tu ni kwenye majukwaa mbalimbali, Asante kwa wote waliotoa maoni yao. Lakini kwa ufupi misaada na Mikopo kihistoria vilianza miaka ya 1945 na ilikuwa baada ya vita kuu ya pili ya dunia kwa malengo mawili; i) Kujenga miundombinu iliyoharibiwa wakati...
  11. K

    Nini kitatokea endapo IMF & World bank zikifilisika?

    Kwa wale waliosoma issue za uchumi wajaribu kunielewesha ni kipi kitatokea endapo taasisi tajwa hapo juu zitafilisika ghafla Je, ni kipi tufanye sisi raia wa kawaida kujiandaa na matokeo ya kufilisika kwa mashirika tajwa hapo juu. Halafu je mpaka sasa korona hajaweza kuzitia misukosuko ya...
  12. IMF gives Tanzania Tsh. 1.315 Trillion to deal with effects of Covid-19

    The International Monetary Fund (IMF) has given Tanzania $ 567.25 million equivalent to approximately Tsh. 1.315 trillion to combat the effects of # COVID19 which has significantly affected the Tourism and Health sector - The Government of Tanzania is committed to strengthening good governance...
  13. #COVID19 IMF yaidhinisha mkopo wa Tsh Trilioni 1.2 kwa ajili ya Corona Tanzania

    Serikali imepata mkopo wa Trillion 1.2 kwa ajili ya kupambana na corona. Gerson Msigwa amekuwa na utaratibu mzuri sana wa kuzungumza na wanahabari karibu kila mwezi, hivyo awe anasema pia kiasi Cha mkopo ambacho Tanzania imepata kwa mwezi huo na Hali ya Deni ipoje. Si busara kukaa kimya. Hadi...
  14. #COVID19 IMF kutoa dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupambana na Covid-19

    Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Kristalina Georgieva, amesema watatoa kiasi cha dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupitia mpango mpya maalumu utakaosaidia juhudi za ulimwengu za kupambana na janga la Covid-19. . IMF pia itatoa fedha za ziada kwa ajili ya uchumi wa dunia, kuongeza...
  15. IMF na Benki ya Dunia ni taasisi kubwa ambazo hujidhihirisha na watu wanoteuliwa kuwakilisha nchi katika masuala ya fedha

    Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha. Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani. Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
  16. T

    #COVID19 Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

    Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu Nawashukuru watanzania...
  17. #COVID19 Ikulu, Dodoma: IMF kusaidia Tanzania kupata fedha kukabiliana na athari za COVID-19

    IKULU, DODOMA: Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) Abebe Selassie amesema Shirika hilo litasaidia Tanzania kupata fedha kwa ajili ya kuimairisha sekta zilizoathiriwa na COVID19 ikiwemo Afya, Utalii na Maji Ameeleza hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais...
  18. P

    Tanzania hatujawahi kulala njaa kwa kukosa mkopo dhidi ya COVID-19, woga na tamaa ndiyo itakayotumaliza

    IMF imeitega Tz Kwa kutaka kuipa mkopo wa kupambana na C - 19 na kuielekeza jinsi inapaswa ifanye ili ipewe huo mkopo Ok, pale mwenye nacho anapotaka kumyang'anya zaidi mwenye kidogo, na Masikini Mtu jasiri akitaka kurogwa na Mchawi huanza kwa kutishiwa tishiwa, mara sijui kesho hutaiona...
  19. #COVID19 IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

    Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha kuziweka wazi Mei mwaka 2020...
  20. IMF: Tsh. Trilioni 115.9 zinahitajika kutoa chanjo ya covid19 dunia nzima

    Shirika la Fedha Duniani(IMF) limeandika muswada wa kuitokomeza kabisa COVID19 ambao utagharimu dola bilioni 50 sawa na Tsh. Trilioni 115.9 Imebainika kuwa hadi sasa ni 2% ya waafrika waliopata chanjo, ambapo nchi zilizoendelea zimetoa chanjo kwa watu wengi. ,arekani imeshatoa chanjo kwa 40% ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…