Tamko alilolitoa Donald Trump akiwa na Benjamin Netanyahu akisema ataichukua Gaza na kuijenga upya kwa kuwaondosha wapalestina imepelekea mshtuko mkubwa kwa viongozi wa mataifa mengi pamoja na wanasiasa wa Marekani.
Wanasiasa waliokuwepo ukumbini wakati Trump akisema hayo kama hitimisho la...
Transparency amongst senators showing clearly their position.
Hakuna UNAFIKI wala kuonyesha eti kulamba uchafu wa aliyeko madarakani.
Nimeipenda kwa kweli. Nasubiri kwa hamu upigaji kura.
Nadhani ni HAKIKA TANZANIA INAHITAJI katiba MPYA ili kuondoa UCHAWA na kuweka COMPITENCE , INTEGRITY and...
Kuna siku unaota mpaka unashangaa mbona unaota vitu vikubwa namna hii,
1. Ghafla mihimili imeanza kufanya kazi kama katiba inavyotaka ikiwa pamoja na kuwajibishana na sio kukutana mara kwa mara bila sababu za msingi za kikatiba
2. Nikaota tena kuwa Wetangula ndio spika wa bunge la nchi hiyo...
Usiende google kucheki matokeo 😂😂 wala cnn , huko hakuna taarifa credible maana ni left wing main strem media, ni haohao walioaminisha umma mpaka dakika ya mwisho 2016 kwamba Trump kashindwa,,, Ukweli ni kwamba kwa sasa hali inavyoelekea Republicans wanaenda kuchukua moja ya mihimili ama miwili...
Habari!
Shinikizo jipya sambamba na mashitaka ya kumuondoa madarakani Rais wa Marekani Donald Trump vimeibuka upya na kushika kasi baada ya vurugu zilizozuka hivi karibuni bungeni, Washington DC, ambazo Trump analaumiwa na kushutumiwa kwazo.
Huku hayo yakiendelea, kumekuwa pia na mjadala...
Nancy Pelosi kisheria anatakiwa kumpa makaratasi ya impeachment kwa senator leader .Nancy Pelosi anakaa sasa Nancy akifanya mchezo case will be dismissed .
Naona medie karibu zote duniani zipo live kwa watanzania wenzangu unaweza kujifunza kitu kwa local channel ITV wamejiunga na CNN wapo live.
Mnyukano ni kati ya Democratic wanao pigakura kumwondoa na Democratic wanapinga kumbakiza imekaa kimrengo zaidi ya kiuhalisia ni kama vile bongo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.