Maduhuli ni bidhaa zinazo ingizwa ndani ya Nchi zinatoka nje zinaingizwa ndani kwa kingereza tunasema Import kwa kiswahili fasaha ni maduhuli.
Kwahiyo kuna maduhuli bayana na maduhuli fiche. Maduhuli bayana ndiyo tunasema sasa direct Import na maduhuli fiche tunasema indirect import sijuwi kama...