impreza

  1. FAJES

    Ipi gari ya kuchukua hapa, Subaru Impreza, Mazda Verisa au Toyota Rumion?

    Wazee, Ushauri unahitajika. Karibuni. Nasikia Subaru Impreza zinasumbua engine, ni kweli?
  2. NyegereBOY

    Hivi kwanini Subaru Impreza new model kuanzia 2012 huuzwa mapema baada ya kununuliwa ! Zinachangamoto Gani ? Mwenye ujuzi atujuze tafadhali

    Wakuu kama kichwa kinavyoeleza nimeanza kuwa na mapenzi ya dhati na Subaru Impreza za kuanzia mwaka 2012 tofauti na matoleo ya Nyuma kwakuwa za Nyuma niliziona ziko chini sana tofauti na hizi new model Wasi wasi wangu ni kuwa nyingi nazo zifahamu au kuziona Mtaani na hata mtandaoni huuzawa mara...
  3. Forrest Gump

    Nimetokea kukuikubari hii impreza xv 2012. Nisaidieni tamu na chungu zake

    Karibuni wakuu
  4. A

    Naomba kupata uzoefu wa gari aina ya Subaru Impreza

    Wakuu naomba kupata uzoefu wa Subaru Impreza: 1. Ubora wake 2. Changamoto zake Mwenye uzoefu anisaidie tafadhali
  5. politics observer

    Msaada jamani: Haya magari yana shida gani?

    Natumai wote n wazima wa afya… Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani? Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model.. Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa...
Back
Top Bottom