Wasalaam,
Nimekuwa nikisikia taarifa mbalimbali zisizo rasmi kuhusu huyu Mzee wetu, Marehemu Jenerali Imran Kombe. Kuna wazee tofauti tofauti ambao waliwahi kukaa naye karibu wakati wa uzima wake: Wengine waliwahi kusoma naye shule, kuna moja aliwahi kusema "Kombe alikuwa ni moja kati ya...