Mkazi wa Mkwajuni, Ismail Ndage (27) ambaye anakabiliwa na kesi ya mauaji, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imsamehe na imwachiee huru, baada ya kukiri shtaka la kuua.
Ndage anadaiwa kumuua Beatrice Onesmo kwa kumchoma kisu tumboni baada ya rafiki yake kupiga...