Msaada wa haraka tafadhali!
Kuna mtu anahitaji kubadilisha majina kwenye nyaraka zake za muhimu: PASSPORT, DRIVING LICENSE, NIDA, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA, n.k.
Majina yanayobadilishwa ni mawili: la kwanza na la kati. La mwisho (la ukoo) litabaki kama lilivyokuwa. Utaratibu ukoje?
1...
Injili ya sasa ni tofauti kabisa na zamani makuhani walitufundisha neno la Mungu lenye kutujenga kiroho zaidi na kutukumbusha tuache dhambi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu
Injili hii kwa sasa imekuwa ni nadra sana kuipata Kuna kitu sikielewi kwa sasa hii ni jumapili 6 tangu nimerudi tena...
Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva?
Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
Jana nimekwenda posta kununua stempu na kuposti barua kwenda UK(United Kingdom).
Baada ya kuiweka stempu nikamuuliza yule mdada barua itasafiri vipi?
Akasema, ile barua itapelekwa Dar es Salaam kwanza.
Nikasema,"Oh! kwa hiyo itaondoka ya ndege jioni?"
Akasema,"Hapana. Haitandoka leo. The...
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.
Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.
Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.
Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia...
Guys, ukiwa na girfriend wako uka do nae inatakuwa u do nae tena baada ya mda gani, maana huyu wangu namuomba kwa wiki mara 4 anasema nampleka sana na hata sijamuoa, nikioa si ndio atakuwa hafanyi kazi zingine ni kunipa tu. Ndio nawaza mda gan upite ili mtu asione uko na ugwadu sana
Ninashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club.
Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe. Kombe la Shirikisho wakilichukua tutanufaika kama Taifa....
Watanzania tusimame na Yanga kwani...
NB: nazungumzia akili ya maisha na sio pesa, elimu ya darasani, cheo, kuoa, n.k. hivi vitu hata kijana mwenye 18 anaweza kuwa navyo lakini AKILI bado haijakamilika kupevuka.
Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao...
Ni lazima Msajili wa vyama vya siasa nchini aingilie Kati suala hili.
Hawa akina Halima Mdee na wenzake wamesubiri takribani miaka miwili Rufaa zao kusikilizwa hii si sawa kabisa.
Mambo kama haya huwezi kuyaona CCM
Mzigo umefika katika ofisi za FedEx local facility, cha ajabu tracking inaonesha utakua delivery tar 4 mwezi wa pili, zaidi ya siku kumi na tano mbele, nami nataka nisafiri, namba za simu hawapokei, naomba mwenye uzoefu anipatie
Habari wakuu,
Naomba kuuliza hivi inachukua muda gani katika kubadirisha jina la kwenye kitambulisho cha NIDA ikiwa ushafata taratibu zote ikiwemo, Deed poll, tangazo la gazeti na kulipia elfu ishirini NIDA, je naweza subiri ndani ya muda gani hadi wabadirishe jina langu kwenye database yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.