Ninahitaji kununua mashine kwa ajili ya biashara na gharama yake ni kama dola 17,500/= Kama 43.7 Milioni
Ni benki gani inafaa kuomba kiasi hicho?
1. Nimesikia kuhusu kuitumia mashine Kama dhamana hili likoje?
2. Riba na marejesho kwa mwezi yatakuwaje? Kama mkopo ukiwa miaka 3?
Naomba ushauri...