Dodoma inazidi kukua kwa kasi, baadhi ya vinavyochangia ukuaji huo ni uwepo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tangu Mwaka 2007 na Serikali kufanya maamuzi ya kuwa Makao Makuu kwa vitendo.
Ukuaji huu wa kasi umesababisha ongezeko la mahitaji ya ardhi kwa ajili ya makazi na biashara, huku baadhi ya...
Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.
Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea...
Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket.
Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa ajili ya malipo, mfumo unazunguka tu.
Ukisema uanze upya unakuta ile seat uliyokuwa umeichagua...
Wakuu nataka kuomba kazi ya drive Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Ila nashangaa mfumo unagoma.
Naomba tips namna ya kujaza kwenye kipengele cha "program name" na "Program category"
Bila shaka hivi vipengele ndivyo vinavyonikwamisha.
Aliyefanikiwa kuomba hii post naomba anichungulie hizo sehemu...
Nimejaribu kuwasikiliza hawa ndugu ukweli ni kwamba ni kama hawawezi kabisa kufanya kipindi pamoja kwani wana tofauti kubwa sana za kimitazamo na kimisimamo mmoja anajenga hoja kwa kutumia argument za kisomi na mwingine anajenga hoja akitegemea argument za kisela.
Mwajiri wao atafakari upya ili...
Mwanzo nilikuwa hata kama sina bando nikiwa na line ya halotel naweza kuingia baadhi ya sites kama JF buree kabisa...lakini saiv inakataaa.
Nimejarib kubadili line ya mtandao mwingine nako ni holaaa!! Vp huduma imesitishwa au nini shida??
Wajuvi mnisaidie.
Habari,
kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno.
Nani alishapata solution?
Wakuu habari zenu,
Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp
Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
Habarini ndugu zangu.
Mwenye ujuzi naomba anisaidie, account yangu ya biashara ambayo nilikua na promote products zangu ghafla inakataa inanipa ujumbe huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.