Habari zenu waheshimiwa!
Nakodisha gari (Toyota Noah - 2005 Model) naikodisha siku yoyote utakayoihitaji, labda tu iwe imekodiwa na mtu mwingine. Naikodisha kwa ghrama tofauti kulingana na siku, ni ndani ya mkoa wa Dar Es Salaam tu;
Jumatatu - Alhamisi: Tsh 130,000/= kwa siku
Ijumaa -...
Fremu inakodishwa Mbezi mwisho kutoka stand ya Magufuli, Mbezi high school. Ni Km. 1.5 kwa njia ya Mpiji na kutokea Luguruni ni Km. 1.
Fremu ina ukubwa wa Sqm. 115 ndani, inafaa kwa ofisi/biashara yoyote mfano; medical laboratory, dispensary, pharamacy, micro finance, hardware, saloon, QT n.k...
Fremu ipo mita 30 kutoka barabara ya lami ya shekilango road, nyuma ya rombo green view hotel mkabala na legho hotel.
Kodi ya miezi 3/6/12 ndo inayopokelewa.
Karibu kwa mawasiliano
0672037238
In Vyumba sita vya kulala Vyumba vitatu ni self contained vikiwemo Master na Chumba special cha wageni Ukumbi/sebule (Living room) Jiko Ukumbi wa kulia (Dining room) Store Sehemu Ya kuogea (Jumla) Choo (Jumla) Ukubwa.
Uwanja mkubwa karibu heka 1 wenye miti ya kuvuli. Kwa habari Zaidi kuhusu
Kodi...
Mashine Ipo Ruguruni , Vituo Viwili kutoka Mbezi Mwisho
Gharama za Kukodi ni laki 5 kwa mwez mashine na godown lake...Maongezi yapo (Baada ya kukagua na kulizika)
Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti 1km kutokea Kibo complex na pia 1km kutokea nyuki sokoni.
Nyumba ina vyumba 2, sebule, dining, choo na bafu. Nje ina servant house ya vyumba viwili na mabanda ya kuku mawili yenye uwezo wa kufuga kuku broiler, kienyeji/
bata au sungura.
Eneo zima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.