inakodishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nakodisha gari (Toyota Noah - 2005 Model)

    Habari zenu waheshimiwa! Nakodisha gari (Toyota Noah - 2005 Model) naikodisha siku yoyote utakayoihitaji, labda tu iwe imekodiwa na mtu mwingine. Naikodisha kwa ghrama tofauti kulingana na siku, ni ndani ya mkoa wa Dar Es Salaam tu; Jumatatu - Alhamisi: Tsh 130,000/= kwa siku Ijumaa -...
  2. Fremu inakodishwa Mbezi Luguruni bila dalali

    Fremu inakodishwa Mbezi mwisho kutoka stand ya Magufuli, Mbezi high school. Ni Km. 1.5 kwa njia ya Mpiji na kutokea Luguruni ni Km. 1. Fremu ina ukubwa wa Sqm. 115 ndani, inafaa kwa ofisi/biashara yoyote mfano; medical laboratory, dispensary, pharamacy, micro finance, hardware, saloon, QT n.k...
  3. I

    Fremu inakodishwa Sinza Legho Tsh 450,000 kwa mwezi

    Fremu ipo mita 30 kutoka barabara ya lami ya shekilango road, nyuma ya rombo green view hotel mkabala na legho hotel. Kodi ya miezi 3/6/12 ndo inayopokelewa. Karibu kwa mawasiliano 0672037238
  4. House4Rent Nyumba Nzuri ya Ghorofa Inakodishwa Bahari Zoo Tegeta

    In Vyumba sita vya kulala Vyumba vitatu ni self contained vikiwemo Master na Chumba special cha wageni Ukumbi/sebule (Living room) Jiko Ukumbi wa kulia (Dining room) Store Sehemu Ya kuogea (Jumla) Choo (Jumla) Ukubwa. Uwanja mkubwa karibu heka 1 wenye miti ya kuvuli. Kwa habari Zaidi kuhusu Kodi...
  5. Mashine Ya Kusaga na Kukoboa Inakodishwa

    Mashine Ipo Ruguruni (Vituo Viwili kutoka Mbezi Mwisho) Tunakodisha kwa laki 5 (Maongezi Yapo) kwa mwezi kwa mashine zote mbili na godown lake.
  6. Mashine ya kukoboa na kusaga inakodishwa

    Mashine Ipo Ruguruni (Vituo Viwili kutoka Mbezi Mwisho) Tunakodisha kwa laki 5 kwa mwez kwa mashine zote mbili na godown lake.
  7. Mashine Ya Kukoboa Na Kusaga Inakodishwa

    Mashine Ipo Ruguruni , Vituo Viwili kutoka Mbezi Mwisho Gharama za Kukodi ni laki 5 kwa mwez mashine na godown lake...Maongezi yapo (Baada ya kukagua na kulizika)
  8. S

    House4Rent Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti

    Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti 1km kutokea Kibo complex na pia 1km kutokea nyuki sokoni. Nyumba ina vyumba 2, sebule, dining, choo na bafu. Nje ina servant house ya vyumba viwili na mabanda ya kuku mawili yenye uwezo wa kufuga kuku broiler, kienyeji/ bata au sungura. Eneo zima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…