inapatikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kusoma Masters ya Sheria Chuo Kikuu Huria (OUT), Je, GPA inapatikana?

    Habari za muda ndugu zangu. Binafsi nimewiwa sana kujiendeleza kwa kusoma Masters katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwani mbali na ubora wa elimu inayopatikana napo na kukifanya kiwe Chuo Kikuu cha pili Tanzania kwa ubora nimeamua kupapendekeza hapo kama chaguo langu la...
  2. Acha kuamini Furaha inapatikana kwenye mapenzi

    Acha kuamini kuwa ili uwe na furaha unahitaji mahusiano. Wakati mwingine unachohitaji ni kazi, pesa, na nguo mpya tu. #Madodi ✍🏼
  3. Ziara za Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Cuba, balansi inapatikana wapi?

    Ni swali ambalo nimejiuliza kwa muda kidogo. Tunapataje uwiano katikati ya mambo haya?! Bepari atanuna, but na sisi tuko non aligned, Sijui tinafanyaje
  4. Dawa ya kuchua maumivu kwa jina la Salimia. Je, bado ipo na inapatikana kwenye maduka ya dawa ya Tanzania?

    Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa ya Tanzania hasa pharmacy kubwa na ndogo za mikoani. Ni hivyo tu shukrani Wadiz
  5. P

    Hiki kibaiskeli kinapatikana wapi?

    Wadau naomba kujua hiki kibaiskeli au kipikipiki au kimwendo kasi hata sijui kinaitwaje ila nadhan kinafahamika machoni mwetu si kigeni kiviile. Naomba kujua kwa hapa bongo kinauzwa wapi na bei yake ikoje either kiwe used au kipya
  6. Hii dawa ya kupunguza uzito inapatikana Tanzania?

    Mwaka 2017 FDA ya Marekani iliipitisha dawa ya Ozempic kuwa dawa ya kutibu kisukari. Baadaye ikaonekana dawa hiyo inasababisha madhara ya kupunguza uzito. Walichofanya ni kuiongezea nguvu na kutokeza dawa ya kupunguza uzito iitwayo Wegovy. Dawa hii imesajiliwa na kupatikana Tz? Gharama zake...
  7. Naomba kujua hii dawa ina matumizi gani na inapatikana maduka ya madawa Tanzania kwa bei gani?

  8. Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Habari wadau wa ufugaji. Kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora ya samaki. Zilizopo nizile ambazo hazikui sana kufikia kiasi cha Sato mkubwa, asilimia kubwa zinakuwa kama perege. Je ni wapi au ni namna gani mfugaji anaweza akawa au akapata mbegu bora ya samaki aina ya Sato inayokuwa...
  9. Fremu ya biashara Moshi mjini inapatikana

    Habari wandugu, Nina fremu ya kupangisha moshi mjini. Fremu ni kubwa na ni nzuri kwa biashara ya aina yoyote ile na ipo katikati ya mji wetu huu wa moshi Mji tulivuuu kabisa. Usio na shida yoyote ile zaidi ya fursa za kiuchumi inayochanganyika na fursa za utalii.. FREMU IPO KARIBU NA...
  10. Mbegu bora ya mihogo inapatikana wapi Kanda ya Ziwa?

    Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja. Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili. Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja? Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
  11. Mbegu ya mipapai ya kisasa inapatikana wapi?

    Ninataka mbegu na siyo miche. Mwaka huu nilinunua zaidi ya miche 50 lakini baada ya kuanza kuchanua maua, nimebaini mingi ni midume. Nimeamua kutafuta mbegu nisie mwenyewe. Ni wapi ninakoweza kuipata? Nipo Geita.
  12. R

    Pombe ya Warangi (Udo), wapi inapatikana mikoani?

    Nimeimiss sana hii pombe ya kabila la Warangi inaitwa Udo. Inatengenezwa kwa mtama. Wapi inapatikana mikoa ya jirani kama Arusha na Manyara??
  13. J

    Mitumba inapatikana wapi hapa Kahama?

    Habari za mchana wadau wa jukwaa hili. Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa). Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba lipo wapi hapa Kahama ? Asanteni!
  14. Miti ya Oak(Mialoni kwa kiswahili) inapatikana wapi kwa Tanzania?

    Habari wakuu. Eti hiyo miti inapatikana Tanzania? Sehemu gani?
  15. K

    Gymnema inapatikana maeneo gani hapa Tanzania?

    Nimekuwa nagundua vitu vizuri lakini mara nyingi sijui kama vipo TZ. Je haya majani unayajua? Yanaitwaje kwa kiswahili? Je yapo TZ. Naomba usiongee kwa kubahatisha ningependa kupata majibu ya uhakika === Gymnema (Gymnema sylvestre) is a plant native to India and Africa with a history of use in...
  16. Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana

    Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana
  17. B

    Sufi/sufu inapatikana kwa wingi mkoa gani?

    Kuna Rafiki yangu flan amenipigia simu kutoka Botswana anahitaji Sufi au sufu lile zao linalofanana na pamba. Kiufupi ameniambia anahitaji tone 60 kwa awamu hii ya kwanza then awamu ya pili atahitaji tone 140 december mwaka huu. Tone 1 anainunua kwa Tshs 600,000 na haijalishi upo mkoa gani...
  18. Ofisi za Zantel zinapatikana wapi Mwanza?

    Mwenye kufahamu ofisi za Zantel kwa hapa Mwanza anifahamishe. Kabla ya kuhamishwa zamani ilikuwa pale mataa mkabala na jengo la BOT. Nina Modem nahitaji wanipatie huduma fulani. Lakini pia nahitaji wanipatie special number. Natanguliza shukrani wakuu.
  19. T

    Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

    Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
  20. W

    Anayejua anisaidie namna ya kudhibiti Sisimizi

    Habari wana JF! Katika nyumba yangu kuna tatizo la sisimizi. Hivi sasa imekuwa ni kero mtindo mmoja. Kwa yeyote anayefahamu, naomba anijuze nitumie dawa gani ili wadudu hawa wapotee kabisa ndani ya nyumba yangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…