Baada ya Makosa makubwa na uvunjifu mkubwa wa kikanuni uliofanywa na Bodi ya Ligi, Inashangaza kuona mpaka sasa ni Mjumbe mmoja tu ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja ambaye amejiuzulu nafasi yake na kutoka nje ya kikao baada ya...
Hii demokrasia ya Korea kusini inashangaza kweli.
Baada ya Rais aliyetolewa madarakani kwa kura za wabunge za kutokuwa na imani naye bwana Yoon Suk Yeol baada ya kutoa amri ya nchi kuwa chini ya sheria za kijeshi ili kudhibiti wakomunisti wa China na Korea Kaskazini kujipenyeza katika siasa za...
Leo nimeangalia karibia misiba yote ya kwenye gorofa na mengineyo nivilio tu Kwa wakinamama swali langu ni hili nafasi ya mwanaume mbona inafichwa kwani hao wanawake walijizalisha wenyewe hao watoto.
Yani baba ahojiwi ni wanawake tu mbona inatumika nguvu kubwa kufichwa mwanaume Kwa watoto wake...
Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo.
Nguo zakulalia tena?
Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi unapokea ngapi tofauti na CWT wanaokataa 2% ya PAYE yako).
Wakiwa ofisini wakiendeleza mazungumzo na...
Anonymous
Thread
afisa
afisa elimu
elimu
inashangaza
kuhamia
sana
vyama
vyama pinzani
walimu
wanaharakati
Baada ya Israel kuuzingira mji wa kusini wa Rafah na kuudhibiti ukanda wa Philadephi unaotenganisha na Misri ilitarajiwa kama walivyojitapa Israel ingekuwa ndio mwisho wa nguvu za Hamas.
Maelezo yaliyokuwa yakitolea na Israel ni kwamba Hamas wana mahandaki wanayotumia kuingiza silaha Gaza...
Kulikuwa na mtu huyu, wakati wa kusoma chuo cha ufundi, alikua ni mtu ambaye tulikuwa darasa moja pindi tupo chuo, alikuwa ni mkimya sana na hajawahi kuchangia chochote wala kuzungumza na mtu yeyote darasani.
Alikuwa Hana makundi, alikuwa hana ushirikiano, alikuwa hana marafiki. Hakuna mtu...
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
====
Pauline...
Israeli mbonyi ni mwanamuziki wa muziki wa injili kutoka Rwanda. Kijana huyu anaimba nyimbo zinachukua views wengi youtube tofauti na wanamuziki wengine wa afrika mashariki.
Tumpe pongezi zake.
Saivi ana nyimbo zinazobamba youtube ziitwazo ninasiri na Nitaamini.
Wimbo wa ninasiri umetoka...
"Tutakapolimaliza ya bandari ya Dar es Salaam hata Mwanza hapa tuna bandari, tunawataka Waarabu hapa, waje Waarabu DP world sijui na nani, waje hapa watuendelezee bandari ya Mwanza.
"Tukitoka hapa tunahamia Ukerewe, tukitoka hapo ni visiwa vyote vya ukala, wape Waarabu. Waarabu oyeee...
Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa...
Yaani kuna watu humu wanaandika mambo mpaka unajiuliza huyu naye ana demu? Aliwezaje mpata demu wake? Alitumia maneno gani kumshauri demu atoe nguo?
Maana kichwani ni empty kabisa. Unawazaaaaaa. Unasema Khaaah.... Mademu wana huruma sana. Hata huyu naye anapata wa kugegeda? Hii Dunia hiii...
Hivi hawa wanaume wanaohamasishana eti kataa ndoa ni wanaume kweli?
Hivi mwanaume rijali kabisa anaweza kuogopa kuowa?
Ukiwasikiliza sababu zao eti wanaogopa kuchapiwa.
Poleni sana dada zangu mna changamoto kubwa sana kwa aina ya wanaume wa sasa.
Unajua sisi binaadamu shukran zero kabisa kwa anae tufanyia wema. Wengi wetu umaskini unafanya kupunguza imani, sasa unajiona upo kwenye shida tokea mtoto mpaka mtu mzima shida inazidi unaomba mpaka koo inaota fangasi. Hakuna nafuu unamuona Ally Mpemba anakula batwaa na ka Range aahh mamaeeš„²...
Salaam wanajamvi,
Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais.
Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa...
Hata aibu hawaoni. Halafu kuna mtu anakuja anazungumzia mabeberu sijui na nini. Hebu soma hapa. Uliza hao wanaoenda Qatari ni wazungu? Kama ni waafrika waulize wanaenda kwa pesa zao?
Unasoma unagundua wanametengewa bajeti na Serikali. Wanaenda Kombe la Dunia Qatar watu 327. Wanatumia kodi za...
Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini
Rais Samia akajibu āHilo...
Leo hii bei ya nafaka kama mchele na unga imepaa maradufu kabla ya ya huyu mkuu wa nchi kuingia madarakani.
Kabla ya kuingia madarakani mchele ulikuwa ukiuzwa sh 1200 kwa kilo . Sasa hivi Mchele unauzwa sh 3600 kwa kilo.
Huko mitaani wananchi wanalia juu ya ugumu wa maisha. Maana uchumi...
Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae.
Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana...