inaua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    Saratani inaua watu elfu 26 kila mwaka nchini

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa wito kwa Watanzania kuchukua tahadhari juu ya ugonjwa wa Saratani kwa kuwa kila mwaka wagonjwa wa Saratani elfu 40 wanagundulika ambapo inapelekea vifo elfu 26 hivyo Watanzania wasipochukua tahadhari vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vitaongezeka. Waziri Ummy...
  2. R

    Shadow circuit inaua kwa haraka kuliko mbinu yoyote ya kijasusi

    Tanzania inaishi kwenye shadow circuit development dilemma; mfumo ambao huna uwezo wa kuweka akiba kwa ajili ya kuendesha serikali bali unatumia makusanyo ya mwezi au kipindi flani kulipa salary na mambo mengine. Ukitaka kufanya jambo lolote la maendeleo lazima ukakope. Unaweza ukakopesheka...
  3. tutafikatu

    Kwanini waumini wa dini ya haki kila wiki wanaua wakristo huko Nigeria?

    Dini ya haki dini ya haki! Kule Nigeria kula kukichwa wanaua makumi hadi mamia ya Wakristo. Halafu kuna mtu anazungumzia Qhamas. Kwenye hii dini kuna roho mbaya sana. https://twitter.com/visegrad24/status/1740517117882155219?t=NxTjtWOQhE8yVkNi4H5WfQ&s=19
  4. mama D

    Zumaridi asichukuliwe kimasihara, imani ni kitu kikubwa sana inahuisha na imani inaua Watanzania tuamke

    Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele. Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎 Inatisha...
  5. sky soldier

    Kwanini bangi ikatazwe wakati pombe inaleta madhara pia. Turekebishe Sheria za Kikoloni

    Kama pombe tuijuavyo, inaweza kumfanya mtu ajinyee (mnisamehe kwa luga kali ila imebidi), atapike, azimie (kuzima), kuropoka, kushindwa kujitambua kabisa, hupunguza umakini (rejea mheshimiwa Kitwanga), n.k. licha ya haya yote lakini pombe hii ni halali. Ni utumwa wa fikra huu, tulirithishwa...
  6. Fundi Madirisha

    #COVID19 Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  7. kavulata

    #COVID19 COVID-19 inaua, isitumike kisiasa dhidi ya wapinzani

    Tanzania sio kisiwa, kila tunachokifanya kwenye mapambano dhidi ya Covid 19 kinavuka mipaka na kuonekana duniani kote. Ni wazi kuwa sasa tumekubaliana kuwa maambukizi ya COVID-19 yapo hata Tanzania, na kuna wenzetu wameugua, wanaugua na waliokufa na wanaokufa kwa ugonjwa huu. Katika hali hiyo...
  8. B

    #COVID19 Tukubali chanjo, Covid-19 ipo na inaua

    Ni muhimu kwa watanzania na Serikali yake kukubali chanjo ya corona ili kuepusha vifo vingi vya watu ambavyo vingeweza kuzuiwa. Toka Janga la Corona lilivoikumba dunia, serikali ta Tanzania iliamua kutumia mbinu zenye kuhatarisha maisha, kama kuruhusu mikusanyiko ya watu, kutokupima watu corona...
Back
Top Bottom