According to the Bible analyst, Melkizedeck aliyekua Kuhani Mkuu na Mfalme wa Salem na kupokea fungu la kumi na kumbariki baba wa Imani ndio huyo huyo Jesus Christ (Yesu Kristo) na Nabii Elia alirudi kama nafsi (soul) kwenye mwili wa Yohana Mbatizaji, je hizi zana sio Future Travel au...