Indiana Jones and the Last Crusade: The Action Game was published in 1989 by Lucasfilm Games, based on the film of the same name. The game was released for the ZX Spectrum, Amstrad CPC, Commodore 64, Atari ST, Amiga, IBM PC, MSX, Master System, NES, Game Boy, Sega Genesis and Game Gear.
It is a different game from Indiana Jones and the Last Crusade: The Graphic Adventure, also released in 1989. There is also a different game for the Nintendo Entertainment System titled Indiana Jones and the Last Crusade, released by Taito in 1991.
Kampuni ya Indiana ilipewa lesesi ya kutafuta madini na kuanzisha mgodi. Ikafanya hivyo kwa gharama zake tena gharama kubwa.
Tanzania kama taifa tukatumia Resource nationalism bullying tukawafutia leseni bila kuwalipa fidia wala kurudisha gharama zao. Kwa maana nyingine tukapata mgodi bila...
My Take: Kama Nchi ingesubiria na kutangaza kwamba haitaongeza mda wa leseni by 2020 basi mradi hodhi ungerejea Serikalini bila kulipa fidia yeyote.
Akili ni nywele kama huna wenya nazo wataendelea kutunyoa Kwa msumeno.Pia soma Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300...
awamu ya tano
hasara kuvunja mikataba
indianaresourcelimited
kuvunja mkataba
mkataba indiana resorces
serikali kuvunja mkataba
tanzania kuvunja mikataba
uchumi tanzania
Wataalamu wa sheria wanaowakilisha kamuni ya Indiana wametuma barua kwa Wakili Mkuu wa Tanzania, ikidai malipo hayo ifikapo tarehe 17 Agosti 2023. Barua hiyo imetumwa tarehe 20 Julai 2023, Wito wa kulipia kiasi cha Dola za Kimarekani milioni 113.6 umetolewa kwa Serikali ya Tanzania
Barua hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.