The INEC card reader is a portable electronic voting authentication device configured to read only the Permanent Voter Cards (PVCs) issued by the Independent National Electoral Commission (INEC) in Nigeria.
The card reader was designed for the accreditation process (authentication of eligible voters before voting). The machine was configured to read only the PVCs of a particular polling unit and can only work on election day.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema chama hicho kwa kushirikiana na wadau wengine, kiko kwenye mchakato wa kwenda mahakamani kuishtaki Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).
Lissu, mtaalam wa sheria na mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, amesema...
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi kujitokeza katika vituo mbalimbali vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaofanyika mkoani Morogoro na sehemu ya mkoa wa Tanga kwa siku saba kuanzia Machi mosi hadi 7, 2025.
Mwenyekiti wa Tume...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea mapendekezo kuanzia tarehe 27 Februari, 2025 hadi tarehe 26 Machi, 2025.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa...
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, kusoma maelekezo ya Tume kupitia vitabu vya maelekezo walivyopewa ili...
Kama inavyofahamika kuwa mwaka huu 2025 ni Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Mmesikia Vyama vya Upinzani wakilalamika jinsi wanavyohujumiwa kwenye chaguzi zilizopita na hasa chaguzi za Serikali za Mitaa 2024 na Vyama vingine vikitamka...
Wakuu,
Hivi vyama vya upinzani vilikuwa wapi kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuanza? Yaani Uchaguzi umeisha ndo wanaanza kutoa maoni?
Maoni haya yana umuhimu gani sasa hivi kama CCM wameshapora Uchaguzi na kushinda asilimia 99?
Naanza kuamini hivi vyama kweli ni CCM B...
VIONGOZI wa dini mkoani Arusha,wameridhishwa namna Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini(INEC),inavyoshirikisha makundi mbalimbali kwa kuyaelimisha na kupokea maoni ya uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura awamu ya kwanza zoezi litakaloanza Disemba 11 hadi 17 mwaka huu.
Hayo yamesemwa...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuiva..
====
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) katika kuhakikisha inatoa Elimu ya Mpiga Kura kwa makundi mbalimbali katika jamii, Novemba, 2024 imetoa elimu hiyo kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) nchini katika mafunzo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi...
1. Ni kwanini kama nchi tunaingia gharama mara mbili kufanya zoezi Moja linalofanana? Hii tunayoambiwa kuwa ni Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) waliandikisha/fanya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura nchi nzima wiki chache zilizopita.
2. Cha ajabu TAMISEMI ya Mchengerwa na...
Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura (INEC) halijaamasishwa sana, isipokuwa kwa viongozi wa CCM waliwaambia wanachama wao wahakikishe wanapata kadi za kupiga kura.
.
Ni mpango kabambe vijana wengi wasijiandikishe ili zoezi la upigaji kura liwe rahisi kwa CCM.
Matangazo hayatolewa kwa wingi...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
Leo 31/12/2023 tunauaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024, hivyo naomba nianze makala yangu hii ya kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2024 kwa rai moja tuu, "Mwaka 2024 ni Mwaka wa Mageuzi ya Kidemokrasia Tanzania" kwa kimombo "A Democratic Turning Point"
Ni mwaka ambao, tunabadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.