MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema chama hicho kwa kushirikiana na wadau wengine, kiko kwenye mchakato wa kwenda mahakamani kuishtaki Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).
Lissu, mtaalam wa sheria na mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, amesema...