ingilia kati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Beira Boy

    Waziri unayehusika na vijana, BAGAMOYO haina vijana wote mateja ingilia kati

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Ukweli usemwe na uwekwe wazi Wazazi wa bagamoyo malezi yamewashinda Bas serikali jitaidini kuingilia kati hili suala Vijana wanatekea wote ni mateja wote walevi Inasikitisha sana SAYUNI BOY
  2. Makonde plateu

    Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

    Daaa hii post ya mdau imenifikirisha na kuniwadhisha Sana daah mungu aingilie kati aisee maana sio poa kabisa wana Wana struggle sana! Mungu aingilie kati 👇👇👇 Pia soma > Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
  3. Crocodiletooth

    Rais wetu, mama Samia, ingilia kati mgogoro wa wafanyabiashara, watakuelewa wewe zaidi kuliko yeyote yule kwa sasa.

    Ombi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote...
  4. M

    DOKEZO Rais Samia ingilia kati rushwa zinazofanywa na hakimu wa wilaya Chato. Mkurugenzi wa PCCB amefeli kuchukua hatua. Ni juu ya uvuvi haramu Rubondo

    Kuna mfanyabiashara mmoja anaitwa Kaburu. Mkazi wa Mganza anajitapa hadharani kuwa yeye hupeleka rushwa kwa huyu hakimu. Na sababu wote ni kabila moja la wachaga basi humsikiliza kwa lolote. Rushwa zinafanyika hadharani. Kaburu ndio wakala wa huyu hakimu mfawidhi. Wavuvi haramu wanaoingia...
  5. M

    KERO Waziri Simbachawene ingilia kati mfumo wa ESS unakwamisha maisha ya Watumishi

    Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi. Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal. Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
  6. N

    Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

    Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT. Jana nilifanikiwa kufika Wilayani Mwanga katika Kijiji cha Mangyo, kitongoji cha Vongo B. Kuna Mama mwenye umri wa zaidi ya miaka 80, ambaye tarehe 01/11 majira ya saa 1:45 Usiku, wakati akipika chakula chake cha usiku, alivamiwa na kuchinjwa shingo yake kama...
  7. R

    Rais Samia ingilia kati utoaji wa mikopo mwaka 2023. Kwa Trend hii ya HESLB, wengi hawatakwenda vyuoni

    Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji. 1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi) 2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta. 3. Congratulations your application is successful...
  8. Erythrocyte

    TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  9. J

    Uhamisho wa uonevu TRA, Kamishna Mkuu tafadhali ingilia kati

    Mheshimiwa Kamishna Mkuu wa TRA, nachukua fursa hii kukuomba uingilie kati uonevu unaofanywa na wasaidizi wako kwenye uhamisho unaoendelea sasa. Nimefanya kazi TRA miaka mingi lakini hali iliyojitokeza sasa si ya kufumbia macho. Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi...
  10. S

    Vifo barabara ya kijenge, nakuomba mkuu wa Mkoa ingilia kati

    Naandika kwa majonzi sana hawa ndugu zetu wa huku Arusha nao wamebahatika kuwekeawa lami mwaka huu japo ni nusu mradi kamili wa kuifikisha lami inapotakiwa kuishia bado aujakamilika. Lami hii sasa imekuwa ikileta huzuni baada ya furaha kwani waendesha bodaboda wa huu mtaa wameigeuza rami hii...
  11. MSAGA SUMU

    Bashe ebu ingilia kati mfumuko wa bei za vyakula la sivyo hali itakuwa mbaya zaidi

    Mchele kg 3000 Maharage kg 3000.
  12. Rashidi Jololo

    Rais Samia, ingilia kati tulipwe fedha za mradi wa Ufugaji samaki kupitia Vizimba-Mwanza

    Mheshimiwa Rais kuna UPIGAJI MKUBWA unaenda kufanyika hapa, tunakuomba uwe mkali kama Hayati Magufuli ili fedha hizi tulipwe sasa. Walikudanganya kwamba tungelipwa kufikia Septemba 15, hadi leo hii ni SARAKASI tu zinaendelea. Mheshimiwa Rais tunakuomba ufike Mwanza na kutoa maelekezo, fedha...
  13. DaudiAiko

    Rais Samia Ingilia kati. Kodi zinazolipwa na wananchi zimezidi na haziendani na Miradi ya Maendeleo inayofanywa na Serikali

    Wanabodi, Tumeshuhudia nguvu iliyotumiwa na serikali katika kuhakikisha kwamba kuna tozo kwenye miamala ya kielektroniki inayofanywa na wananchi. Hii inaweza ikawa njia ya serikali kutanua wigo wa kodi ya kuwa wezesha kufanya shughuli zingine za ziada ambazo zinaweza zikawa na manufaa kwa...
  14. OLS

    CAG akague hesabu za zoezi zima la Sensa…

    Agosti 23, 2022 tunatarajia kuwa na zoezi la sensa ya watu na makazi. Zoezi muhimu katika mipango ya sera na maendeleo ya Taifa. Hata hivyo mwaka huu tumeona matangazo yamekuwa mengi sana hadi inaleta maswali kama fedha za umma zimetukima ipasavyo. Uhamasishaji umekuwa mkubwa kama kuna mgomo...
  15. NostradamusEstrademe

    Waziri wa Maji ingilia kati suala hili wateja waunganishiwe maji hapa Malimbe, Nyegezi

    Eti bomba la maji linapita sehemu lakini mtu aliyeko zaidi ya mita 60 haruhusiwi kuungiwa.Hii haijakaa sawa Mheshimiwa. Najua wewe ni mchapakazi mzuri hii Wizara unaitendea haki kabisa Mungu akujalie pia unamsaidia sana Rais kwenye utendaji wako wa kazi. Naomba ingilia hili suala hapa...
  16. Jidu La Mabambasi

    Wizi mpya wa Vodacom: Waziri wa Mawasiliano ingilia kati

    Unapata ujumbe huu kwamba tayari umeinganishwa na matandao wa Playinc., na unakatwa ths 200/= kwa siku. Ujumbe uko hivi: "VODACOMLIVE Hongera! Umeunganishwa na Playinc, Tembelea playinc.com/tz bure siku 3 kisha utatozwa Tsh200/siku. Kujiondoa tuma neno ONDOA Playinc1 kwenda 15599" Mtu huna...
  17. A

    Mh. Rais ingilia kati suala la mikopo ya wanafunzi elimu ya juu

    Mh. Rais ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia hongera kwa safari ya Glasgow ambapo uliiwakilisha nchi yetu na kutusemea, pole kwa majukumu ya kulipigania taifa letu. Nikienda moja kwa moja kwenye mada ni kwamba baadhi ya wanachuo ambao wanakila sababu ya kupatiwa mkopo...
  18. Abu Ubaidah Commando

    Rais Samia tunaomba ingilia kati suala la mitandao

    Bandugu kwema? Kama kichwa cha habari kinavosomeka apo juu, naomba mh Rais aingilie kati suala hili otherwise tutasusia ama kuandamana. Wamepunguza MB gharama imebakia ileile ya mwanzo, maana yake nini kutukomoa ama ninii!!! Kana vipi na gharama za kununua vifurushi zipungue. Hii siyo haki...
  19. L

    Kijana aliyeuawa na watu wanaojiita Sungu sungu Mburahati, Rais Samia ingilia kati

    Mheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, sisi wanawake tuna imani sana na wewe, tutakupa kura zetu zote za urais mwaka 2025 ila kuna mambo machafu sana yanayofanyika katika serikali yako. Sisi wanawake wa Tanzania tumesikitishwa sana na mauaji ya kijana mdogo mkazi wa kata ya Mabibo kitongoji...
  20. Kamanda Asiyechoka

    Msajili wa vyama ingilia kati CHADEMA tupate viongozi

    Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania. Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi. Makamu mwenyekiti yupo ulaya anadhurula hovyo hovyo. Tumia mamlaka yako ya kisheria itisha...
Back
Top Bottom