ingilia kati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Rais Samia ingilia kati suala la Mbowe ukubalike zaidi kisiasa; kesi ikitupwa au akishinda itakuharibia taswira yako na ya CCM

    Mtu yeyote mwenye kujua sheria anapoona tu kichwa cha thread hii, atasema sio sahihi, Rais Samia hapaswi kuingilia kati suala la mashitaka ya Mbowe ya Ugaidi kwa kuwa hapaswi kuingilia kati mhimili wa Mahakama. Ni kweli. Lakini pia, Watanzania wengi sana wanaamini kwa dhati kwamba kesi ya...
  2. Waziri Ummy: Michango ya kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali isizidi Tsh. 188,000

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000. Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
  3. Waziri wa Mambo ya Ndani ingilia kati juu ya mauaji yanayofanywa na viongozi wa Serikali za Mitaa huko Mwanza

    Waziri Simbachawene hii sasa ni too much. Kila baada ya mwezi huko Mwanza tunasikia watu wamegoma kuzika mwendazake. Habari kubwa ni Kiongozi wa Serikali za mitaa kupiga na kisha kuua wanaotuhumiwa vibaka, ndani ya ofisi za Serikali. Wananchi nao wanakasirika na kuchukua miili za marehemu...
  4. R

    Waziri Lukuvi, huku Idara ya Ardhi hakujakaa sawa

    Tunaomba platform ambapo tunaweza kukutonya nini kinaendelela nyumbani kwako idara ya ardhi. Kuna madudu yanafanyika yanahitaji uyaingilie Kati. Kumeoza, needs your intervention.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…