Kuna engine / vichwa vya treni vilikuwa bandarini na serikali ikadanganya kwamba havina mwenyewe.
Vichwa vya treni ni mitambo ya thamani kubwa sana na mara nyingi kama sio zote huundwa kwa mikataba maalum.
Haiyumkiniki kukawa na vichwa vya treni visivyokuwa na mwenyewe, au vichwa vya treni...