Nakupa pongezi kwa sababu huwezi kufikia kumi bila kuanza na moja mwendo wako uko kwenye njia sahihi, na mwelekeo wako ni mzuri!
Kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya CAF si jambo dogo; umefanya kazi kubwa na kufanikisha mengi. Nafasi hii inakupa nafasi ya moja kwa moja kushiriki...
Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote...
Waziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.
Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.
Wizara mama...
Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.
Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania.
Kwa kuwa...
Akijibu swali la kizushi kutoka kwa Oscar Oscar Wasafi TV, kwamba👇👇
"Inasemekana ulipokuwa mtoto ulikuwa unaonekana kama una mapenzi na Simba.
Hata mlipokuwa mkicheza chandimu Simba na Yanga wewe ulikuwaga unachagua upande wa Simba, ila sasa hivi umekua Rais wa Yanga. Hebu tuambie hii...
BEAVERS ni jamii ya panya na niya pili kwa ukubwa kati ya jamii za panya wote waishio kwa sasa. Wanapatikana sana Katika ukanda wa kaskazini kama Amerika ya kaskazini na ulaya ya magharibi.
Kimaumbile wana urefu wa kuanzia mita 0.3 hadi 0.5 (kuanzia kichwa hadi mkia), na kiupanna sentimita...
Mwanzoni Mamelody waliweka kiingilio Rands 20 .
Then Injinia wa mpira, Hersi Said akatangaza kiingilio bure kwa kila shabiki wa Yanga atakae ingia uwanjani loftus kuwaspoti Yanga ( umewekwa utaratibu wa kuwalipia mashabiki wote wa Yanga watakao ingia uwanjani leo)
Mamelody wametangaza...
Nimeshtushwa na kichwa cha habari cha gazeti la Mwanaspoti la leo kwamba eti kwa sababu ya ujio wa Okra basi Moloko na Musonda hatma zao ndani ya Yanga zipo mashakani.
Please Mr. President , do anything in ur power to make sure that Musonda doesn't go anywhere.
I beg you by five books of...
Waziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame .
https://m.youtube.com/watch?v=OKCQOPb1DkM
Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame kama sehemu ya kutambua mahusiano mema na mapenzi ya Kagame katika michezo.
Zawadi hiyo...
Wakuu kwema?
Hii imekaaje? Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi au wanasiasa au watu mashuhuri zipewe majina ya mkandarasi aliyejenga pamoja na anuani ya makazi yake, akivurunda tu tunajua pa kumpata.
Nakuhakikishia kiwango kwenye ujezi wa barabara kitaimarika mara moja. Maana...
Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu.
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua Kama Mayele na Beki mbovu Mwamnyeto.
Naombeni wana Yanga SC Wenzangu wote hapa JamiiForums Kesho...
"Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa Wachezaji wetu waliopambana," Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) alipokuwa akizungumza na kipindi...
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said amezungumza kuwa baada ya Kamati ya Hadhi na Haki za Wachezaji kumtaka Fei Toto kurejea Yanga, mchezaji huyo hajarejea klabuni licha ya kushindwa katika shauri la kuvunja mkataba wake na Yanga.
Amesema baada ya hapo wao wanaendelea kumlipa mshahara na stahiki...
"Kesho Uongozi wa Yanga SC umealikwa na Wana Yanga SC wa Mbagala ili twende Kuzindua Hamasa ya Kuelekea Mechi yetu ya Jumapili dhidi ya TP Mazembe na Ijumaa hadi Jumamosi pia kutakuwa na Matukio ya Kuhamasishana na Kufundishana jinsi ya Kushangilia" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC muda...
Naona nae Kawadindia ( Kawakatalia ) na anataka mumlipe Tsh Milioni 700 zake la sivyo anabisha hodi FIFA Kudadadeki.
Halafu Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) na GSM wako ( yako ) si mnasema mna Hela? Sasa mbona mnamsumbua mno Tajiri wa NATION GAS Rosti Tamu ukila na Aziz pamoja na Mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.