TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema wenye madaftari ya wageni kujiandikisha kwenye malango ya ofisi zao wanafanya makosa kwa mujibu wa Sheria ya Taarifa Binafsi kwa kuwa wanakusanya taarifa za watu bila ridhaa yao.
Mkuu wa Mahusiano na Mawasiliano wa Tume, Innocent Mungy ameyasema...
Habari za jion wa wakuu,
Leo nimejaribu kuangalia mwenendo wa malipo yangu kwenye account yangu ya NSSF imekuta claim status imeandika pending hii inamaana gani?
Na ni takribani wiki ya nne tangu ni wasilishi fomu.
Ahsanteni
Kwani ni kitu gani kimewasibu TBC1 mshindwe kurusha HD kwenye chaneli zenu za TBC1 na Safari Chaneli?. Ubora wa picha ni duni sana. Hii ni chaneli ya Taifa, kutuonyesha ‘ungaunga’ kwa picha ambazo unaona kabisa zilipigwa kwa HD hamtutendei haki. Vipindi vya chaneli nyingine kama ZBC, Channel 10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.