Kwani ni kitu gani kimewasibu TBC1 mshindwe kurusha HD kwenye chaneli zenu za TBC1 na Safari Chaneli?. Ubora wa picha ni duni sana. Hii ni chaneli ya Taifa, kutuonyesha ‘ungaunga’ kwa picha ambazo unaona kabisa zilipigwa kwa HD hamtutendei haki. Vipindi vya chaneli nyingine kama ZBC, Channel 10...