Hellow wakuu,
Leo niliona uzi humu mdau mmoja akiomba msaada wa dawa asili za kuondoa tatizo la kukosa usingizi Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka
Nimeona nianzishe uzi huu ili kila mtu aone na aelimike ikibidi asaidike,
Kukosa usingizi sio...
a) Jiwekee msimamo ratiba yako ya kulala kama hakuna dharura nyingine iwe saa fulani Mpaka saa fulani. Hili ndo jambo kubwa la kwanza.
b) Mchana usichoke choke kizembe fanya fanya mazoezi mapema tu kabla haijaingia usiku sana.
c) Punguza au jiepushe na pombe, caffeine, energy drink, sigara...
Usingizi mrefu na usio katikakatika ni muhimu sana kwa afya ya mwili, akili na roho. Mtu mzima anapaswa kulala si chini ya saa 8 kwa siku. Zingatia yafuatayo ulale usingizi mrefu na mtamu.
1. Oga kabla ya kulala
2. Kula chakula chepesi na kidogo walau saa moja kabla ya kulala.
3. Usinywe maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.