Serikali ya Marekani imerudisha tena usaidizi wake kwa Ukraine baada ya Ukraine kukubaliana na Marekani juu ya mpango wa usitishaji vita kwa siku 30.
Mara baada ya uamuzi huo, misaada mbalimbali ilianza kuingia kwa kupitia Poland.
Kwa upande wa Urusi, imeshindwa kutamka lolote kuhusiana na...
Paul Kagame au unaweza kumuita Paulo Kagame, huyu ni kijana wa Nyerere aliyepikwa kijeshi na kuiva vyema hapa nchini Tanzania, aisee mwamba anajiamini sana unajua kwa nini!! Twende kazi!!
Ni rais pekee kutoka eneo la Afrika mashariki ambaye kijasusi tunamuita HIGH PROFILE MISSION ana uwezo...
Tundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba anashawishiwa kwa ustadi mkubwa, kwamba hivi sasa anazo sifa zote, vigezo na uwezo za kua mwenyekiti wa...
Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza.
Nikaamua kumtoa out wife, sijui kichaa gn kikaniingia nikampeleka pub moja ambapo huwa naenda sana...
Pamoja na mashambulizi ya Israel ya kuua viongozi wa Hezbollah, Urusi imesema kuwa Hezbollah haijapoteza uwezo wake wa kupigana na chain of command iko intact.
Hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa genociders, ambao walidhani kuua kiongozi fulani hapa na pale ndiyo mwisho wa taasisi. Wamesahau...
Aliyekuwa mfanyakazi wa CIA Bwana Andrew Bustamente alielezea kwenye Podcast kwamba Taasisi kali kuliko zote za kiintelijensia na kijasusi kwa pande tofauti ni kama zifatavyo;
MMS( Ministry of State Security) China🇨🇳; Alisema kwa ushindi wa Ufikiaji au Reach ya watu duniani taasisi hii ya China...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.