Mtie moyo mama mjamzito. Shika mkono wake, ongea naye taratibu, muonyeshe jinsi ya kupumua pumzi nzito zinazokwenda polepole.
Msaidie kumgeuza, kutembea, kubadilisha ukaaji, na hata kutoa sauti.
Kila unapokuwa na mjamzito fanya maandalizi yote ya wepesi wa kumfikisha hospitali. Kujifungulia...
Kwa ajili ya kujifungua salama, andaa vifaa vifuatavyo: -
Sabuni na maji kwa ajili ya kunawa mikono mara kwa mara, kumsafisha mama, na kusafisha vifaa tiba. Vilevile andaa beseni au bakuli kwa ajili ya kunawia na kupokea kondo la nyuma.
Viwembe vipya au mkasi wenye makali kwa ajili ya kukata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.