iphone 13

The iPhone 13 and iPhone 13 Mini (stylized and marketed as iPhone 13 mini) are a range of smartphones designed, developed, and marketed by Apple Inc. They are the fifteenth-generation, lower-priced iPhones, succeeding the iPhone 12. They were unveiled at a virtually held Apple Special Event at Apple Park in Cupertino, California on September 14, 2021, alongside the higher-end iPhone 13 Pro and iPhone 13 Pro Max flagships. Pre-orders for the iPhone 13 and iPhone 13 Mini will begin on September 17, 2021, and they will be available on September 24, 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. Nauza hii phone 13 Pro

    Apple Iphone 13 pro 128 GB •Face id✅ •Battery health 81 •Ina network lock(unaweza tumia •Gevey sim card au ukalipia deni ikawa unlocked) Simu Imetumika wiki moja tu tangu itoke nje ya nchi Price 950,000/= Kimara Dar es salaam 0757187238
  2. Phone4Sale iPhone 13 Pro

    Iphone 13 pro . Used Uk. In very good condition Gb 128 Bh 84. TT✅ 1.5ml only. Comes with a box. Ukinunua mbili Utapata moja kwa 1.450ml only. 0752850081 0783869998 Nipo DSM Ubungo.
  3. INAUZWA iPhone 13 PRO inauzwa 128 GB

    SOLD OUT SOLD OUT SOLD OUT
  4. KU BYPASS IPHONE 13

    Wakuu uwezekano wa ku bypass iphone 13 upo? Inawezekana na kama inawezekana ni kama vile tunavyofanya zile nyingine?
  5. Phone4Sale Nauza iPhone 13 na 15

    Nauza iphone 13 plain Used 2 months UK GB 128 Bh 100 Inakuja na boksi yake na original usb charge wire haijawhi tumika. 1,800,000ml Tsh Dsm location 0783985530
  6. Apple yapigwa faini Tsh. Bilioni 46.6 kwa kuuza simu bila chaja

    Jaji Caramuru Afonso Francisco wa Mahakama ya Haki za Kiraia ametoa hukumu hiyo na kuita utaratibu huo "matusi ya kibiashara" ambayo yanawalazimu wateja kununua bidhaa ya ziada Uamuzi huo unaoweza kukatiwa rufaa unakuja baada ya Apple kupigwa faini nyingine ya Tsh. Bilioni 5.8 kwa suala hilo...
  7. Mwanaume aghairi Harusi baada ya mchumba wake kukataa kumtaja mtu aliyempa Iphone 13 Pro Max

    Ni huko kwa wanaijeria. Walikuwa tayari wameshaengage na kilichokuwa kinasubiriwa ikawa ni Wedding. Mwanamke alirudi na Iphone 13 Pro Max na alipoulizwa kwamba nani kamnunulia simu hiyo ya Gharama akadali ni Family member. Alipoulizwa huyo Family member ni nani akagoma kudisclose Identity...
  8. 𝗠𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼 𝘆𝗮𝗹𝗶𝘆𝗼𝗽𝗼 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗶𝗣𝗵𝗼𝗻𝗲 𝟭𝟰

    Apple imetoa simu ya iPhone 14 ambayo sio Pro (iPhone 14 ya kawaida). Mwaka huu iPhone ya kawaida itakuwa na iPhone 14 Plus ambayo ina ukubwa sawa na iPhone 14 Pro Max. iPhone 14 inafanana na iPhone 13 katika mwonekano. 🔘 Apple imetoa aina mpya ya simu ya iPhone 14 Plus. Ina kioo chenye ukubwa...
  9. T

    Tatizo la Apple ni moja, mtu mwenye Iphone 11 na Iphone 13 hawana tofauti.

    Mojawapo ya Kinachosababisha sizipendi simu za Iphone ni muonekano. Iphone matoleo 3 ama hata 4 yanaweza kufanana usijui yupi anatumia simu ipi na yupi ana simu ipi. Kwa mfano, hii design ya macho 3 ilikuja na Iphone 11, haijabadilika hadi Iphone 13, mtu mwenye Iphone 11 na Mwingine ana Iphone...
  10. Usinunue iphone 13

    Aisee apple ni wajanja sana Mabadiliko ni madogo sana kwa iPhone 13 Bei yake iko juu sana Nimeskiliza kwa makin uchambuz wake Kwa kifup hakuna jipya MAMBO MAPYA NDANI YA IPHONE 13
  11. iPhone 13 imeshaingia, 11 si habari ya mjini tena

    Kama ulikua unajiandaa kununua iPhone 11 basi fahamu kuwa 13 sasa hivi imeshatoka.
  12. Utengenezaji wa movie umerahisishwa sana na hii iphone 13

    Mimewahi cheki movie moja imetengenezwa na iphone 6 kama sijasahau. Huwezi jua ni movie ya simu kama hujaambiwa. Sasa nilikuwa naangalia uzinduzi wa products za apple uliofanyika jana. Hii iphone 13 wameiunda kwaajili ya movie hasa. Utengenezaji wa movie umekuwa rahisi kabisa. Pia niulize...
  13. Inawezekana toleo jipya la Apple kwenye iPhone 13 kisoko itapata wateja

    Tarehe 14 September 2021 kampuni ya Apple imetambulisha matoleo mapya ya vifaa na toleo jipya la iphone 13 na 13 pro. Ila nitapenda kueleza kiufupi simu za apple zilizofanya vibaya japo watu wanashindwa kuelewa. Kampuni hii ilianza kuwa na mauzo makubwa kuanzia iphone 2g mpaka 5s. ila kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…