Apple imetoa simu ya iPhone 14 ambayo sio Pro (iPhone 14 ya kawaida). Mwaka huu iPhone ya kawaida itakuwa na iPhone 14 Plus ambayo ina ukubwa sawa na iPhone 14 Pro Max.
iPhone 14 inafanana na iPhone 13 katika mwonekano.
๐ Apple imetoa aina mpya ya simu ya iPhone 14 Plus. Ina kioo chenye ukubwa...