iphone x

  1. W

    Phone4Sale Iphone X for sale

    Ina GB 64 Haina TT Haina Face Id Battery healthy 80% Mbezi magufuli
  2. Yasser Arafat

    Iphone x 256gb kwa 250,000 tsh

    Wakuu habari Ninauza iphone x ina 256gb bei ni 250,000 tsh. Iphone x 256gb Battery 75% Goba dar es salaam 0628395636 - Direct call ama normal message
  3. P

    Phone4Sale Iphone X Tsh. 345,000/=

    Iphone X 🛑Storage 256Gb 🛑Clean 🛑True Tune✅ 🛑Face Id✅ 🔋BH 100% 💰Bei 345,000/= 📍Ubungo Darajani 0️⃣7️⃣6️⃣9️⃣5️⃣0️⃣3️⃣9️⃣6️⃣8️⃣
  4. Tyrex

    Nauza iphone X 64gb

    Iphone X 64gb Face ipo Battery 100 Power button haifanyi kazi 0743586474
  5. Hypersonic WMD

    Watumiaji wa iphone: Iphone x yangu imeanza kustack kama techno nifanyaje?? na haina app nyingi wala

    Wakuu, Nipeni msaada
  6. JOH CARLOS

    Phone4Sale iphone X inauzwa Dar es salaam goba

    habari, nauza simu yangu ,iphone x yenye specs zifuatazo 64gb camera kali sana battery health 77 true tome ipo officiall iphone
  7. L

    Iphone X kwa bei ya 485,000 used from dubai

    Karibuni boss zangu. Iphone X zipo za kutosha tupo kariakoo .storage 64gb,256gb . Kwa mawasiliano piga 0695022051 Whatsapp 0734123440
  8. BARD AI

    iPhone X yaondolewa kwenye Vifaa vya Apple vitakavyopokea iOS 17

    Kwa mujibu wa Apple imetangaza kuwa mfumo wa uendeshaji wa iOS 17 utapatikana kwenye simu za iPhone XS na kuendelea kumaanisha kwamba usaidizi umeondolewa kwa iPhone 8, iPhone 8 Plus, na iPhone X. Toleo la Beta ya kwanza ya iOS 17 itapatikana kwa wanachama wa Programu ya Apple kwa majaribio...
  9. Zombie S2KIZZY

    Phone4Sale Samsung S10+ or iPhone X plain

    Wakuu inakuaajee Nataka nichukue Mali moja kati ya hizi zote naztaka lakini nataka nichukue moja tu naombeni ushauri ipi nipite nayo kati ya Samsung S10 plus au iPhone X plain S10+ ram 8gb internal 128gb bei ni 400,000 used iPhone X plain ram 4gb internal 64gb bei ni 550,000 used NB...
  10. Hum B

    Phone4Sale Nauza iPhone X

    Habarini wakuu,Nauza iPhone X 256 gb No Face ID BH 82 Bei 380,000 Location tabata Cont:0658 130 630
  11. Gan star

    Ipi simu nzuri kati ya iPhone 8 plus, iPhone X, iPhone XR, iPhone XS, iPhone SE na iPhone 11?

    Wakuu nahitaji kununua simu brand ya iPhone, kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera, mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri kwa picha na hata video. Kwa wale waliowahi kutumia hizi simu ipi ipo bora zaidi kati ya hizo nilizozitaja? Japo naona zote MP 12 ila...
  12. SAYVILLE

    Nahitaji iPhone X used

    Ebwana wakuu, nahitaji kujua wapi naweza kupata iPhone X used. Nataka used kwa sababu sina hela ya kununua mpya. Naweza pia kutrade iPhone 6S nikaongeza kiasi kidogo kupata hiyo X.
  13. mbinda_smartphones

    Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  14. D

    Naomba kufahamishwa bei ya Iphone X kwa sasa

    Wakuu naomba kufahamishwa bei ya Iphone X kwa sasa. Pia nasikia kwa Zanzibari bei zinakuwa kidogo nafuu naomba pia mwenye kujua nilinganishe. Asanteni
  15. Ramon Abbas

    Phone4Sale Iphone X Gb 256 inauzwa, at Dsm

    iPhone X gb256 Face ID ✅ Battery 100% 850,000 Clean as new, used for 6 months colour: black sinza kwa remi, Dar es salaam Piga 0713096076
  16. Ramon Abbas

    Phone4Sale Iphone X ina wiki 2 tu inauzwa bei ya haraka nina shida na pesa

    Nina shida ya pesa Iphone X Ina wiki 2 tu. Gb 64. B.Health 100%. Face id. Truetone. Nina shida na pesa. Box lipo. Charger na earphones zipo. Kiufupi mzigo ni mpya. Bei maelewano. Number. 0683011003
  17. Sam Gidori

    Mabadiliko ya mwonekano wa iPhone tangu kuzinduliwa hadi sasa

    Januari 9, 2007 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Apple, Steve Jobs alitangaza kuzinduliwa kwa simu ya iPhone, simu iliyokuwa na iPod, kamera na uwezo wa kutumia intaneti, kati ya vingine vingi. Tangu wakati huo hadi sasa, tumeshuhudia mabadiliko ya vizazi vya iPhone, kila toleo jipya likionekana...
Back
Top Bottom