iphones

  1. Mr Why

    Elon Musk ameamua, iPhones na simu mahiri za Android sasa zinaweza kutumia satelaiti zake kupiga simu popote pale Duniani

    Elon Musk aendelea kutembeza bakora kwa makampuni ya simu Baada ya kuleta mageuzi katika ufikiaji wa mtandao wa kimataifa, Starlink ya Elon Musk iko tayari kupeleka muunganisho wa simu mahiri kwenye kiwango kinachofuata. Huduma hiyo kabambe ya setilaiti hivi karibuni itawawezesha watumiaji...
  2. BICHWA KOMWE -

    Kwanini iPhones zimekaa kishamba sana?

    Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone. Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika. Huwezi kukuta mtu...
  3. Nehemia Kilave

    Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

    Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri. Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo. Cha zaidi ni...
  4. Mturutumbi255

    Tofauti Kati ya iPhones Mpya na Zilizotumika na Namna ya Kuzitambua

    Katika soko la vifaa vya kielektroniki, kununua iPhone mpya au iliyotumika ni chaguo linaloathiriwa na mahitaji na bajeti ya mtumiaji. Kuelewa tofauti kati ya iPhone mpya na iliyotumika ni muhimu ili kuhakikisha unapata thamani bora kwa pesa zako. Hapa chini ni uchambuzi wa kitaalamu juu ya...
  5. Mturutumbi255

    Njia za Kutambua iPhones Original

    1. Namba ya Serial na IMEI - Hatua za Kufanya: 1. Nenda kwenye Settings > General > About. 2. Tafuta Serial Number na IMEI. 3. Tembelea tovuti rasmi ya Apple checkcoverage.apple.com. 4. Ingiza namba hizo ili kuthibitisha kama iPhone yako inatambulika na Apple. - Faida...
  6. Lady Whistledown

    MSUMBIJI: Kiwanda fake cha iPhones chagunduliwa

    Mamlaka zimegundua uwepo wa kiwanda haramu kinachotengeneza simu za Kampuni ya #AppleInc bandia katika Mji Mkuu Maputo, ambapo walinasa simu 1,165. Kiwanda hicho kinachomilikiwa na Raia wawili wa #China, kiliweza kutekeleza taratibu za kiufundi wa simu hizo, kama vile kuunganisha (assembly) na...
Back
Top Bottom