Mamlaka zimegundua uwepo wa kiwanda haramu kinachotengeneza simu za Kampuni ya #AppleInc bandia katika Mji Mkuu Maputo, ambapo walinasa simu 1,165.
Kiwanda hicho kinachomilikiwa na Raia wawili wa #China, kiliweza kutekeleza taratibu za kiufundi wa simu hizo, kama vile kuunganisha (assembly) na...