Salaam Wakuu,
Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua.
James...
My take
Kama kuna jambo mwenda zake aliinusuru nchi hii ni kuitoa kwenye makucha ya mataperi wa nishati, tulikuwa tumetizamishwa kibra na wala hatukuwa na nguvu za kujinasua kupitia mahakama za kimataifa, maana tayari tulikuwa tumejinyonga kwa kamba yetu wenyewe kupitia mikataba ya kimangungo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, hawa viongozi wa serikali walioruhusu mabilioni ya Tegeta Escrow Account kutolewa Bank Kuu (BOT) kwanini hawajaunganishwa kwenye kesi ya jinai ya uhujumu uchumi inayowakabili James Rugemalila na mwenzie Harbinder Singh Seth, ikiwa wao kama viongozi...
“Tusijipe usahaulifu wa lazima tena kwa haraka.., zile pesa zilikuwa za UMMA au za WATU BINAFSI.., zile pesa za TEGETA - ESCROW Account... NANI ANAWALIPA SCB-HK DENI LAO!?”
====
.., hivi zile pesa zilizofunguliwa TEGETA - ESCROW Account zilikiwa mali ya UMMA au zilikuwa pesa za watu binafsi...
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya inayoshughulika na migogoro ya uwezekaji, ICSID yenye makao yake mjini Washington DC, Marekani na ipo chini ya benki ya dunia.Tanesco ilikuwa...
Wadau, katika kile kinachoonekana kuwa huenda Bunge likaingia tena kwenye mgogoro na Mahakama juu ya sakata la ESCROW, Leo Mwanasheria wa IPTL na PAP, Joseph Makandege amesema kuwa wamepeleka shauri Mahakama Kuu kuomba ufafanuzi wa Kisheria juu ya Maazimio yaliyotolewa na Bunge juu ya sakata la...
Chanzo: Mwananchi
Mkanganyiko unazidi kujitokeza tokana na barua toka Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam kuzui bunge kujadilia kashfa ya ESCROW Acc. kwani barua inaonyesha iliandikwa saa saa nane mchana kabla ya kuanza kusikiliza shauri hilo saa nane na nusu mchana. Hivyo barua iliandikwa...
Baada ya bunge kwenye kikao cha asubuhi kusema swala la Escrow limeingizwa kwenye ratiba na ripoti itawasilishwa kuanzia jioni ya leo. Tujumuike kwa pamoja kuhabarishana yanayojiri jioni hii bungeni Dodoma kuhusu sakata la Escrow.
Anaekalia kiti jioni hii ni spika mwenyewe mama Anna Makinda...
Wakati Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wakichachamaa wakisema hawatakubali Bunge hilo kuingiliwa na mhimili wa Mahakama, Mahakama hiyo imejiweka kando na tuhuma hizo.
Sakata hilo lililotawala kikao cha Bunge hilo jana lilitokana na madai yaliyoibuliwa juzi na wabunge wa kupinzani...
PAP ni mbadala wa Dowans
Singh Sethi ni mbadala wa Rostam Aziz (wakala)
Wizi wa pesa ya Tegeta Escrow account ni mbadala wa wizi wa pesa za EPA account
Kama ilivyokuwa mwaka 2005, mkakati wa sasa unalenga kufanikisha pesa za uchaguzi, 2015
Kama ilivyokuwa 2005, wizi wa pesa za Tegeta Escrow...
Kwa mara nyingine serikali kupitia viongozi na watendaji wake akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha Dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika 'Tegeta Escrow Account' si mali ya serikali na hivyo si mali ya umma. Akaunti hiyo ilifunguliwa na...
Nimepitia baadhi ya habari na kuona kuwa hii topic ni nyeti sana na inagusa mengi, kwa nini isijadiliwe:
IPTL, ANGLO LEASING YA TANZANIA ISIYOTAMKWA.
GAZETI Tando la Pambazuko limebandika ripoti inayotakiwa kusomwa na kila anayeitazama kwa jicho la mapendo ...
Who is this guy:
Mr. Patrick...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.