Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au anatumia nini haswa ambacho ni tofauti na mtanzania mwengine wa maisha ya wastani?
Wanafunzi wakumbuke...
Hawa watu wa kada za afya wanafanya kazi muda mrefu mno 24/7 na wanahudumia wagonjwa wengi sana ndio maana wanachoka sana mwisho wa siku huduma inakuwa chini ya kiwango
Hivyo serikali wawapunguzie idadi ya kuhudumia wagonjwa, daktari mmoja ahudumie wagonjwa wasiozidi 20 kwa siku then asign out...
01 Agosti 2022
Rais kupunguziwa madaraka siyo inamfanya kuwa dhaifu bali inampa uimara.
Uwiano mihimili ya dola: bunge, mahakama na serikali kuu / legislative, executive and judicial .
Teuzi za wateuliwa wa rais ni nyingi kupita kiasi na kusababisha mkwamo , hadi wateuliwa wanajiuliza je...
Inashangaza sana hili kundi la CCM ina wenyewe wao kazi yao tu ni kupigaga madili tu kuanzia Epa, Escrow Kagoda na wizi wa mali za CCM
Kumbe Kagasheki ndio alihusika na kuingia dili ili eneo la Loliondo lipunguzwe kwa manufaa ya mwarabu.
👇🏿
Mwananchi › kitaifa
CCM wamgeuka Waziri Kagasheki...
Hili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza.
Katika hukumu iliyosomwa na Jaji Tiganga, mahakama imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa wanne.
Maana yake ni kuwa hatia imeonekana. Je, wanapaswa kujitetea adhabu ipunguzwe ama wafutiwe makosa?
Je...
Serikali yetu inajikanganya sana. Tuliambiwa lengo la tozo ni kujenga madarasa nchi nzima. Kwenye hotuba ya Rais wetu mpendwa, akasema kunakifedha kakipata mahala. Cha ajabu serikali inakuja na mpango wa kujenga madarasa kila jimbo kwa fedha ya mkopo wa corona! Imenishangaza sana! Hivi kweli...
ILI KUFIKIA MAENDELEO KITAIFA MASHARTI YA MIKOPO YAPUNGUZWE KATIKA TAASIS ZINAZO JIHUSISHA NA MIKOPO
Habari zenu ndugu na jamaa nikiwa kama kijana ninaye itakia mema nchi yangu napenda kutoa ushauri kwa taasis zinazo jihusisha na mikopo na serikali kwa ujumla. vijana wengi wanao toka katika...
Habari JF members,
Naomba turejee kauli ya Rais wetu Samia alipokuwa anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari alipoulizwa kuhusu katiba mpya na siasa za majukwaa. Simple tu alijibu dhamira yake kubwa ni kuifungua nchi kiuchumi japo katiba ni muhimu pia.
Lakini kwa hali ilivyo inaonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.